Kakuta ''cool'' badala ya kululetera!

Kakuta ''cool'' badala ya kululetera!

muhimu afanye uchunguzi zaidi ndio ataujua ukweli,akimuuliza mke wake,atakataa tu,kwani jina sio ushahidi tosha.na kama kuna ukweli fulani,bora amkaribishe{ila inataka moyo}huyo mke anaweza kurudi nyuma kwa alilotaka kulifanya.kuna jamaa mmoja ali suspect mke wake ana cheat,alifanya juu chini akajenga mazoea na huyo jamaa,katika kumzoea,huyo mwizi alijua kama yule mke,ni mke wa huyo jamaa,yule mume,akamtungia storu kuwa ameathirika,yule mwizi alimuacha yule m.ke,aliogopa
Mbaya zaid Kama huyo mwizi naye angekuwa ana Ngoma,jamaa hamna Rangi angeacha ona yan
 
Yani tuko pamoja sn,
kushusha tsunami ndo unawapa nguvu ya wao kuendeleza uhusiano bze at that time nyumba itakuwa haina amani kila mtu anahasira na mwezie so itakuwa muafaka kwa wao kufarijiana baada ya tsunami.
Yan akirogwa tu akafanye fujo, Cool hata kama alikuwa hajammega wife wa msela hiyo ndio itakuwa enough ticket ya wife wake kumegwa na Cool.
Na ukirogwa amuulize wife wake kuhusu utata wa hilo jina na Tabia za msela,hiyo itamfanya wife wake afikirie namna nyingine ya Ku cheat maana anaonekana kadhamiria kuwa na Afair flan na Cool,hii ni Lesson tosha kwa msela kuwa wife wake hajatulia na kama katulia basi kuna shetan mbaya anamuita na si ajabu kuna akina Cool wengi tu ila wameseviwa kinamna tofauit tofaut
 
Huu ni mtihani wadau.... Najaribu kujiuliza kama n i mimi ningefanyaje... Mh! Chungu hiyo.... Kama wanamegana lakini iweje ampe business card at the same time mwanamama asevu namba ya mshikaji kwenye simu? Yawezekana ni deals tu za kiofisi maana hatujui muingiliano wa shughuli zao... kama hivi ndivyo why hilo jina limeseviwa kimalovee jinsi iyo?? Kifupi cha wapi tusidanganyane wakuu mwanamke kumwandika mwanaume kihivyo alishammega tu na akajua yupo cool.... au siyo? Ni kama unaingia kwenye chumba chenye AC hapa bongo wakati wa jua kaaaali! si unacool etie?

A way foward: Plan A..... Nachukua namba najifanya siju lolote namtafuta jamaa namualika kwangu siku nione watakavyotizamana na wife kwa kutumia kisaikolojia changu nitaconclude.

Plan B: Najifanya sina credit kuna jamaa nataka kumpigia simu (kwangu nitakuwa nimemsevu kwa jina la mwanzo Bernard) then nikiweka no namwuliza wife ah! kumbe unaye humu? mbona jina sio au nimekosea namba? Kwa kisaikolojia changu cha undergraduate majibu na muweweseko utanipa clue!
Humbly i submit.
 
Mkirua ngikumiss sana
Umeongea na hapo ndio njia ya kumkamata mwizi wake kama anaibiwa na reaction ya wife itaonyesha ni nini kinaendelea
 
Mkirua ngikumiss sana
Umeongea na hapo ndio njia ya kumkamata mwizi wake kama anaibiwa na reaction ya wife itaonyesha ni nini kinaendelea

Ndg yangu Rocky nipo unajua tena kibarua hata mda wa kuingia humu inakuwa taabu kweli kweli lakini tupo pamoja mkuu.
 
Mkuu kama vp na ww mtafute cool kwa kuwa ni best yako muombe utembelee kwake.
Ukifika una time jamaa kashangaa shangaa we unapenyeza biz. card yako kwa mkewe then unachukua namba yake.

Ukifanikiwa hilo tu na ww unapiga speech mkewe kimya kimya unamega.

Ukishamega kama mara nne unatafuta place nzur unamtoa out huyo bibie yan mkewe cool.
Ukiwa huko outing unam call cool unamwambia kuna tafrija sehem flan na unamuhitaji aende. Na unamwambia sharti awe na mwenz wake.
Sasa cool akienda home mkewe hayupo so ataamua amchukue mpenz wake aje nae bila kujua kuwa huyo mpenz wake ww ni mke wako.
Akifika place wewe unajificha kwanza unachek kama kaja na mkeo. Ukiona ndio na ww unazama chimbo unamtoa mkewe tena akiwa na beach wear.

Hapo kesi imekwisha.
Kama ni match ngoma ni 1-1.
 
Back
Top Bottom