Acheni izö maneno nyie majamaa.....! Yaani leo mtu anathubutu kusema eti Fid Q amekopy stylé ya mapacha?!Hao mapacha wameanza kuonekana lini kwa ramani ya hiphop hata Ngosha atokee nyuma kuwacopy jamani...?!dah wabongo kweli nuksi. Tafuteni track za Fid za mwaka 2001 au nyimbo alofanya na akili tribe"master j,nmemaliza" halafu uyapime hayo maneno ya kucopy style.....

Fid q ndo kila ki2 ndo maana wasanii wengi wa hphop hapa tanzania wanamtaja kama ndio role model wao e.g niki mbishi, young kila,stamina n.k
wewe ni mgeni wa muziki wa bongo kaa kimya ufundishwe...Fid ni msanii mkali lakini ni kweli kakopi staili ya Machizi Flani wa Hatari ambao kwa sasa mnawaita Mapacha kifupi Fid kawakuta Twins kwenye game wakati anatoka kwao nyakato mwanza.
Waweza sema ni kwa vipi fid q ka kopi staili ya mapachaHuyu anajua 50/50? kama buku ni jero kwa jero!
Nakumbuka ndo mara ya kwanza namjua Fid nilimsikiliza kwenye hii nyimbo yuko na Nuruelly nafikiri ha haAcheni izö maneno nyie majamaa.....! Yaani leo mtu anathubutu kusema eti Fid Q amekopy stylé ya mapacha?!Hao mapacha wameanza kuonekana lini kwa ramani ya hiphop hata Ngosha atokee nyuma kuwacopy jamani...?!dah wabongo kweli nuksi. Tafuteni track za Fid za mwaka 2001 au nyimbo alofanya na akili tribe"master j,nmemaliza" halafu uyapime hayo maneno ya kucopy style.....