mbotoki
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 268
- 115
Mdogo wangu Kalala.
Umejipatia mashabiki wengi sana kutokana na kipaji chako cha kuimba. Uko katika band ambayo inasifika na yenye jina kubwa la Twanga pepeta. Kinachonishangaza hivi ni nini kinachokufanya utambe bila kuogopa katika mitandao ya kijamii na huyo Dada anaitwa Rose au Muna. Hujui kuwa huyo ni mke wa mtu?
Anaitwa Mama Patrick na nimepata habari hata huyo mwenye mke huwa unakwenda kwake Mwananyamala na kujifanya kaka yako kumbe unamlia mkewe.
Any way yaweza kuwa ujanja kwako ila kwa hili bwana Peter Zacharia wa TBL tena anayewapa mpaka matamasha mpige pale Leaders atakuja kufahamu.
Sitaki kujua kitachofuatia. Ila kama vipi acha mdogo wangu.
Mke wa mtu ni sumu.