Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

mbotoki

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
268
Reaction score
115
Mdogo wangu Kalala.

Umejipatia mashabiki wengi sana kutokana na kipaji chako cha kuimba. Uko katika band ambayo inasifika na yenye jina kubwa la Twanga pepeta. Kinachonishangaza hivi ni nini kinachokufanya utambe bila kuogopa katika mitandao ya kijamii na huyo Dada anaitwa Rose au Muna. Hujui kuwa huyo ni mke wa mtu?

Anaitwa Mama Patrick na nimepata habari hata huyo mwenye mke huwa unakwenda kwake Mwananyamala na kujifanya kaka yako kumbe unamlia mkewe.

Any way yaweza kuwa ujanja kwako ila kwa hili bwana Peter Zacharia wa TBL tena anayewapa mpaka matamasha mpige pale Leaders atakuja kufahamu.

Sitaki kujua kitachofuatia. Ila kama vipi acha mdogo wangu.

Mke wa mtu ni sumu.
 
Haya Hizo ndo ushahidi wenyewe.
 
Attachments

  • 1433943519604.jpg
    1433943519604.jpg
    36.4 KB · Views: 2,599
  • 1433943586241.jpg
    1433943586241.jpg
    34.5 KB · Views: 2,367
  • 1433943613088.jpg
    1433943613088.jpg
    47.9 KB · Views: 2,379
  • 1433943641706.jpg
    1433943641706.jpg
    44.5 KB · Views: 2,328
warumi mi namtaka uyo peter zacharia wa tbl tufanye mchongo
 
Last edited by a moderator:
Mmh mbotoki Huyu Ni mke we Mtu Kweli au walishatengana na Huyo mumewe? Kama Ni mke aw Mtu Kweli anapatia wapi ujasiri aw kuanika mapicha yake na mchepuko wake?
 
Last edited by a moderator:
Kha! na mwenye mke yuko wapi au ndio wewe? Mume awe pole sana
 
Mmh mbotoki Huyu Ni mke we Mtu Kweli au walishatengana na Huyo mumewe? Kama Ni mke aw Mtu Kweli anapatia wapi ujasiri aw kuanika mapicha yake na mchepuko wake?

Dada bana ni mke wa mtu.
Na jamaa anapelekwa resi vibaya aisee.
Kaambiwa akaenda kuhoji akajibiwa kuna movie mpya wanafanya inaitwa Harusi.
Af jamaa haya mambo ya social media hayupo kwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Kha! na mwenye mke yuko wapi au ndio wewe? Mume awe pole sana

Hahaha mwenye mke yupo.
Hajui chochote kinachoendelea.
Hakuna mtu anaweza labda kumdokeza.
Na anampenda saaaana Dada huyu.
Akiproof anaweza akajiondoa duniani.
 
Dada bana ni mke wa mtu.
Na jamaa anapelekwa resi vibaya aisee.
Kaambiwa akaenda kuhoji akajibiwa kuna movie mpya wanafanya inaitwa Harusi.
Af jamaa haya mambo ya social media hayupo kwa sana.

Maskini ya mungu,wanyonge wanaonewa sana duniani hapa,ila mungu ipo siku atamfumbua macho huyo baba akajitoa mikononi mwa huyo dada
 
Aseee kweli huyu kashindikana
 
Attachments

  • 1433948497520.jpg
    1433948497520.jpg
    52.2 KB · Views: 1,224
  • 1433948523466.jpg
    1433948523466.jpg
    59.9 KB · Views: 1,147
  • 1433948780785.jpg
    1433948780785.jpg
    59 KB · Views: 1,153
Dada bana ni mke wa mtu.
Na jamaa anapelekwa resi vibaya aisee.
Kaambiwa akaenda kuhoji akajibiwa kuna movie mpya wanafanya inaitwa Harusi.
Af jamaa haya mambo ya social media hayupo kwa sana.
basi Huyo mume ahesabu tu Kuwa Hana mke. Sio kwa Dharau anayoionesha mkewe. Ndugu, jamaa, marafiki wanaona hizo picha, si fedhedha Jamani!!!
 
basi Huyo mume ahesabu tu Kuwa Hana mke. Sio kwa Dharau anayoionesha mkewe. Ndugu, jamaa, marafiki wanaona hizo picha, si fedhedha Jamani!!!

Wacha nitafute no yake labda watu wakimwambia mbali mbali ataelewa.
Nduguze wako Moshi Uru huko.
 
Duh kama mke wa mtu anakua ivi basi neno mke litafutiwe tafsiri mpya haraka.
 
Ila labda yee ndie kamuoa kimakubaliono sasa, kweli ujue mtu ana mume then umuite mke si ukichaa huo au?
 
Dada bana ni mke wa mtu.
Na jamaa anapelekwa resi vibaya aisee.
Kaambiwa akaenda kuhoji akajibiwa kuna movie mpya wanafanya inaitwa Harusi.
Af jamaa haya mambo ya social media hayupo kwa sana.

Ok ndio umejua anakuja jc unataka aone picha leo?

Usisahau kutuletea ubuyu wa baada
 
Mke wa mtu hawezi kua hivyo Hata sikumoja, atakua Mke wowote...
 
Back
Top Bottom