wewe mtoa mada nimekushtukia labda umelenga kumchafua mmoja wao maana wewe umeishia kusema eti ni mke wa mtu na mumewe hajui kua anafanya huu uchafu mdau kaja na evidence ya picha za harusi kabisa kua kaolewa na kalalajr, ina maana adi watu kufunga harusi basi wanashare kila kitu ikiwa ni pamoja na mke kua nyumbani kwa kalala na kufanya majukumu mengine, sasa huo muda wa kukaa na huyo mume unaedai anasalitiwa unatoka wapi? au na wewe umekosa hiyo nafasi? duh huyo dem atakua hatari anagombewa na casto, kalala (huyu kampata) na mleta mada pia.
Angalizo vijana tujitume tufanye kazi tusipende umarioo!!!!