Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

Kalala Junior, mke wa mtu ni sumu

Mhhhhh! Nimekosa hata la kusema.Huyo mwanamke anapata wapi ujasiri wa kufanya hivyo?
 
Huyo mwanamke hazimtoshi wenzie wanatamani alichonacho wapate hata nusu yeye kapata anarusha dana dana nyau kweli huyo dada wanawake wa hivi wanakera kweli yani kama nimpige konzi
 
Huyu alikuwa anaigiza ITV sikumbuki na kundi gani alikuwa mweusi vizuri siku hizi cheupe dawa duuuuh
 
Duh huyu mke wa mtu majanga, physical haonenakani km mke wa mtu
 
Mmh mie najua kalala ndiyo mumewe kumbe show off basi ni too much kwa kweli
 
Watu wana comment IG kama vile mke na mume na kumisiana juu mmh labda mpaka nimuone mumewe.hata kumrusha anamrusha kalala tu
 
download.jpeghuyo mwenye mke hajui kama walifunga harusi pale st peters last month?huyu demu cheche la mjini mara ya mwisho kalala kapigana na casto wa clouds tv wanamgombania,nasikia anahonga kweli
 
mbotoki

Uliogopa nn kwenda kumwambia kalala face to face
 
Last edited by a moderator:
wewe mtoa mada nimekushtukia labda umelenga kumchafua mmoja wao maana wewe umeishia kusema eti ni mke wa mtu na mumewe hajui kua anafanya huu uchafu mdau kaja na evidence ya picha za harusi kabisa kua kaolewa na kalalajr, ina maana adi watu kufunga harusi basi wanashare kila kitu ikiwa ni pamoja na mke kua nyumbani kwa kalala na kufanya majukumu mengine, sasa huo muda wa kukaa na huyo mume unaedai anasalitiwa unatoka wapi? au na wewe umekosa hiyo nafasi? duh huyo dem atakua hatari anagombewa na casto, kalala (huyu kampata) na mleta mada pia.

Angalizo vijana tujitume tufanye kazi tusipende umarioo!!!!
 
Hii itakuwa wanaigiza movie tu haiingii akilini mwanamke aolewe na wanaume wawili, huyu kalala alichomwambia jamaa kuwa ni movie si sawa sawa, mchepuko hata kama hauna heshima hauwezi jianika hivi Muna anatafuta kiki tu shigongo hamuoni analazimisha aonekane.
 
View attachment 259084huyo mwenye mke hajui kama walifunga harusi pale st peters last month?huyu demu cheche la mjini mara ya mwisho kalala kapigana na casto wa clouds tv wanamgombania,nasikia anahonga kweli

Sasa hii ndio ilikuwa Harusi yao pale Saint Peter na Ukumbi pale TCC
 

Attachments

  • 1434104220505.jpg
    1434104220505.jpg
    44.6 KB · Views: 430
  • 1434104259276.jpg
    1434104259276.jpg
    40.4 KB · Views: 418
kaacheni kamama cha watu kajilie limume lake gumegume..kutwa kubinjuka na michepukoo...khaaa kula raha kalala junior!!!
 
Kiukweli watu wanafanya maovu lakini huyu kazidi yaani kaweka wazi mchepuko wake
 
Back
Top Bottom