Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau alivyotafuna NBC yeye na wenzake mpaka ikafirisika.Huyu mwenyekiti mtendaji wa IPP,anayo historia ya kuhamasisha. Alipomaliza muda wake Lybrand and Coopers alianzisha kiwanda kidogo cha kalamu huku akinunua parts za kalamu. Hadi sasa anajivunia pamoja nasi kuwa tajiri wa pili bongo. Halafu hakuvaa viatu akienda shule. IPP media, Bonite, IPP Resources Ltd n.k. Nani ana la kuongeza.
Umesahau alivyotafuna NBC yeye na wenzake mpaka ikafirisika.
Walikuwa wanashirikiana naye kufisadi nchi.Wakati huo serikali ya chama chako ilikua wapi?
Zamani ya mwaka gani?Zamani mabenki hayakuwa na uwezo mkubwa wa kutunza records labda. Hata Kimei alisema CRDB ilipoteza mabilioni ya mikopo. Kwa sasa wako makini sana. Mbona nasikia alishalipa
Huyu mwenyekiti mtendaji wa IPP,anayo historia ya kuhamasisha. Alipomaliza muda wake Lybrand and Coopers alianzisha kiwanda kidogo cha kalamu huku akinunua parts za kalamu. Hadi sasa anajivunia pamoja nasi kuwa tajiri wa pili bongo. Halafu hakuvaa viatu akienda shule. IPP media, Bonite, IPP Resources Ltd n.k. Nani ana la kuongeza.
Walikuwa wanashirikiana naye kufisadi nchi.
Umesahau alivyotafuna NBC yeye na wenzake mpaka ikafirisika.
We pimbi kawasaidi wajomba zako waliopo Msasani -CCBRT ni mafukara wa kufaZamani ya mwaka gani?
Mpaka leo ajalipa alikopa mabilioni kwa kutumia kampuni yake ya Anche Mwedu Limited (AML) na kulazimisha suala hilo kifikishwa mahakamani.Kama kalipa NBC basi tumwache. Lakini kwa kweli amefanikiwa kiasi kikubwa. Miaka ya mwanzoni 1980 ndo alianza investment. Unaona anavyolipa watu kwa tweets zenye mvuto.
Kwa mara ya kwanza nimekubali nini Bavicha bana.ha ha haaaaaaa! Kwa mara ya kwanza umeukubali ukweli!
Mbona umepanic ghafla kamanda kulikoni.We pimbi kawasaidi wajomba zako waliopo Msasani -CCBRT ni mafukara wa kufa
Walikuwa bize kutafuta sehemu nzuri ya kuficha hati ya Muungano....Wakati huo serikali ya chama chako ilikua wapi?
Jumla ya fedha zote za NBC ambazo akidaiwa Mengi kupitia kampuni yake hadi kufikia mwaka 2009 pamoja na riba ilikuwa bilioni 28.Kama kalipa NBC basi tumwache. Lakini kwa kweli amefanikiwa kiasi kikubwa. Miaka ya mwanzoni 1980 ndo alianza investment. Unaona anavyolipa watu kwa tweets zenye mvuto.