Kalamu ilivyomtoa Reginald Mengi {tajiri namba mbili Tanzania}

Kalamu ilivyomtoa Reginald Mengi {tajiri namba mbili Tanzania}

Nakumbuka Mengi alivyokuwa anatengeneza kalamu za wino na wanawe nyumbani kwake Upanga.
Unakumbuka pesa alizochukua kupitia msaada wa nchi wafadhili "Commodity Import Support" ambazo hakuzilipa hadi leo.
 
mm najuwa huwapendi wachaga na wakatoliki,
Hizo fikra zako hapa tunaongelea ufisadi wa NBC.

Mkuu hivi mtu akifanya ufisadi kama anatoka kabila lako ufisadi unakufa.
 
Unakumbuka pesa alizochukua kupitia msaada wa nchi wafadhili "Commodity Import Support" ambazo hakuzilipa hadi leo.

...Hizo nazo alidhaminiwa na serikali yako ya CCM.
 
yaani kwa mara ya kwanza umekubali kuwa "VIONGOZI WA SERIKALI NI MAFISADI"


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hivi unadhani hao viongozi wa serikali ni malaika wapo ambao ni wezi na mafisadi ambao walikuwa wanashirikiana na kina Mengi kufisadi nchi.
 
Ritz mbona hii thread inakuumiza roho sana? Hvi angekuwa Bakhressa ungetoa povu kiasi hiki?
Kama Bakhressa naye kafirisi benki yetu nae atakuwa fisadi sioni fahari kumsifia tajiri aliyejitajirisha kupitia kodi zenu.
 
Last edited by a moderator:
Siri ya utajiri aijuaye ni tajiri mwenyewe sisi wa nje hatujui kama kuuza peni unakuwa tajiri basi matajiri wangekuwa wengi,nampongeza mh dr mengi kwa ku-make it.
 
Back
Top Bottom