Kalamu ilivyomtoa Reginald Mengi {tajiri namba mbili Tanzania}

hahaaaa mkuu asante kwakumsoma kwa jicho la 3 huyu bwanamdogo Ritz

Mi nilimsoma mapema mno,na kukubali fasta kuwa walishirikiana na serikali ni kwa kuwa anajua ni mkapa ambaye ametofautiana naye kiimani anahusika kwa namna moja ama nyingine.

Ni kweli hatupaswi kuwafurahia mafisadi wa aina yeyote lakini tukubali pia kuwakosoa wale wa dini yetu maana mapovu yao yanatokea tu endapo wa dini tofauti na wao anaposadikika kuwa fisadi.
 
Yote mliyosema mimi siyajui. Sikuwa nahtaji mfike mbali hivyo.
 
Mi nilimsoma mapema mno,na kukubali fasta kuwa walishirikiana na serikali ni kwa kuwa anajua ni mkapa ambaye ametofautiana naye kiimani anahusika kwa namna moja ama nyingine.

Ni kweli hatupaswi kuwafurahia mafisadi wa aina yeyote lakini tukubali pia kuwakosoa wale wa dini yetu maana mapovu yao yanatokea tu endapo wa dini tofauti na wao anaposadikika kuwa fisadi.

Duh.... Uisilamu unawaumiza sana roho, sasa kama mtu fisadi kwanini asisemwe?
 
Jumla ya fedha zote za NBC ambazo akidaiwa Mengi kupitia kampuni yake hadi kufikia mwaka 2009 pamoja na riba ilikuwa bilioni 28.

CC: Ben Saanane

Ndg unashangaza!
Nahisi una chuki binafsi.

Haipatani na akili kusema eti Mengi kaidhulumu NBC na wakamwacha.
(POINTLESS).

Labda useme kakopeshwa kiasi hicho
(Hata ikiwa hivyo,kwani ni kosa kwa milionea kukopa?)

Tazama hiyo bl 28 ni ndogo sana kwa Mengi mwenye utajiri wa over Tsh bl 880.

Kwanini NBC isimshitaki?
au kuzuia Assets zake?

Ana historia nzuri na hawezi kuitwa fisadi kwa sababu hajawahi kuajiriwa serikalini, hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 bado.

Fikra zangu zinanipa picha kuwa
"Endapo Reg Mengi angekuwa na wadhifa serikalini,mngepata nguvu ya kumwita mwizi!........
naye kwa kulijua hilo alilikwepa mapema "

UBAGUZI SIO DILI
 
Last edited by a moderator:

mwenye akili kakuelewa
 
Na ni fisadi haswa.
Ina mana umemuona mengi tu na bakhresa?mbona mafisadi wapo kibao na hawatajwi.swala la kukopa c ajab mana mbona hata serikali inakopa sembuse umewaona hao.acheni chuki binafsi bwana.
 
Ndg unashangaza!
Nahisi una chuki binafsi.

Haipatani na akili kusema eti Mengi kaidhulumu NBC na wakamwacha.
(POINTLESS).

Labda useme kakopeshwa kiasi hicho
(Hata ikiwa hivyo,kwani ni kosa kwa milionea kukopa?)

Tazama hiyo bl 28 ni ndogo sana kwa Mengi mwenye utajiri wa over Tsh bl 880.

Kwanini NBC isimshitaki?
au kuzuia Assets zake?

Ana historia nzuri na hawezi kuitwa fisadi kwa sababu hajawahi kuajiriwa serikalini, hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 bado.

Fikra zangu zinanipa picha kuwa
"Endapo Reg Mengi angekuwa na wadhifa serikalini,mngepata nguvu ya kumwita mwizi!........
naye kwa kulijua hilo alilikwepa mapema "

UBAGUZI SIO DILI

Nashukuru kwa kunitetea,ni-PM nione jinsi gani naweza kukusaidia.
 
Back
Top Bottom