Kalamu ilivyomtoa Reginald Mengi {tajiri namba mbili Tanzania}

Umesahau alivyotafuna NBC yeye na wenzake mpaka ikafirisika.
 
Zamani mabenki hayakuwa na uwezo mkubwa wa kutunza records labda. Hata Kimei alisema CRDB ilipoteza mabilioni ya mikopo. Kwa sasa wako makini sana. Mbona nasikia alishalipa
 
Zamani mabenki hayakuwa na uwezo mkubwa wa kutunza records labda. Hata Kimei alisema CRDB ilipoteza mabilioni ya mikopo. Kwa sasa wako makini sana. Mbona nasikia alishalipa
Zamani ya mwaka gani?
 
Coopers and Lybrand...!
 
Utajiri mwingi wa matajiri wa kibongo nyuma kuna wanasiasa wamewekeza hivyo kutolipa kodi ni kawaida
 
Kama kalipa NBC basi tumwache. Lakini kwa kweli amefanikiwa kiasi kikubwa. Miaka ya mwanzoni 1980 ndo alianza investment. Unaona anavyolipa watu kwa tweets zenye mvuto.
 
Miaka ya ilipokuwa ya serikali na binafsi kati ya hapo. Sifuatilii sana mambo ya Mabenki.
 
Kama kalipa NBC basi tumwache. Lakini kwa kweli amefanikiwa kiasi kikubwa. Miaka ya mwanzoni 1980 ndo alianza investment. Unaona anavyolipa watu kwa tweets zenye mvuto.
Mpaka leo ajalipa alikopa mabilioni kwa kutumia kampuni yake ya Anche Mwedu Limited (AML) na kulazimisha suala hilo kifikishwa mahakamani.

Mkopo wa pili chini ya kampuni hiyo hiyo kupitia loan agreements.

Mengi ni fisadi tu.
 
hakuna mchaga asiyekuwa mwizi...mngi ni mwenyekiti wa wezi
 
Kama kalipa NBC basi tumwache. Lakini kwa kweli amefanikiwa kiasi kikubwa. Miaka ya mwanzoni 1980 ndo alianza investment. Unaona anavyolipa watu kwa tweets zenye mvuto.
Jumla ya fedha zote za NBC ambazo akidaiwa Mengi kupitia kampuni yake hadi kufikia mwaka 2009 pamoja na riba ilikuwa bilioni 28.

CC: Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…