Kalapina aelezea sababu za kumchapa chidi benz jukwaani

Kalapina aelezea sababu za kumchapa chidi benz jukwaani

Hahahah huyo bwana mdogo sana,dar tuna marudeboy kibao usione huwasikii kwa mana siku hiz wanaotamba bongo ni wenye cheda,ila wapo tele siku likitokea vagi ndio utawajua wapo tele akina shaban ninja,master,lintu akina damme na wengine tele huyo kalapina ni kama dogo tu kwao, HUIJUI HISTORIA YA DAR SO KAA KIMYA! WACHIMBA CHUMVI WA APOLO
DAR HAINA RUDE BWAYS WEWE ACHA KULAZMISHA WEWE...eti damme,, muulize damme alifanywa nini sinza kwao na papaa master r.i.p..kaseja mwenyewe anamjua..ni vile kipaji chake kiliishia streets tu...arusha mwili wa mtu siyo kigezo bab..eti dar...sterotypes za kizembe tu..mi nipo dar natoka arusha na hamna kenge uku dar anayeniumiza kichwa ata mmoja...kila kitu eti mjifanye mwajua nyie...yani huyo ni mtoto mdogo sana ila ninauhakika timbwili lake hapa daslam wakulizuia ni wachache sana..elewa! alafu kuna wakubwa wa kazi kibao arusha hawana mawenge wametulia tu..ila ukijichanganya tena ulete na kiswahili cha kidaslma ndo umeharibu kabisaaaaaaaaaaa....take my word..dar bado sana
 
ah wapi damme namjua sana...mtemi wa kishamba mno!! juzi juzi tu kamchoma mtu kisu na kumwibia dukani sinza..hana lolote..mi nilijua ni mbabe wa ukweli kama wababe niliowaacha ara..markoo, kina kinkola, robert makufuli rip...acha kabisa wewe dar wachumba kweli kweli..kuiga tu ndo kumejaa...
 
DAR HAINA RUDE BWAYS WEWE ACHA KULAZMISHA WEWE...eti damme,, muulize damme alifanywa nini sinza kwao na papaa master r.i.p..kaseja mwenyewe anamjua..ni vile kipaji chake kiliishia streets tu...arusha mwili wa mtu siyo kigezo bab..eti dar...sterotypes za kizembe tu..mi nipo dar natoka arusha na hamna kenge uku dar anayeniumiza kichwa ata mmoja...kila kitu eti mjifanye mwajua nyie...yani huyo ni mtoto mdogo sana ila ninauhakika timbwili lake hapa daslam wakulizuia ni wachache sana..elewa! alafu kuna wakubwa wa kazi kibao arusha hawana mawenge wametulia tu..ila ukijichanganya tena ulete na kiswahili cha kidaslma ndo umeharibu kabisaaaaaaaaaaa....take my word..dar bado sana

machalii hamna lolote mnajifanya mahiphop boyz wakat mafunza tu,mi nishaenda sana arusha nimeona timbwili zenu za kitoto duluti beach,mkija maeneo ya tmk hamna anayepona pale,watu wamepinda dar ukileta habar za kichalii unatobolewa na bisbisi
,halaf sisi hatuigi,sisi ndio original ni nyie ndio mnaiga mkija huku dar mnafyata mkia,ss tukienda popote lazima mji wote utetemeke,michezo yote tunacheza kuanzia nyembe,bisi,panga mpk roba za mbao
njoo mjini lakini usiende viwanja vyetu vya ndani, tembeatembea maeneo ya wazi tu mana watu huku dar hawalali unaweza kugeuzwa mshkaki na supu ya mchemsho kwa mamantilie
 
Back
Top Bottom