Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha ni yule msela wake Dully Sykes? masela walikula ndogoHuyo anaongea tu kuna mwenzake naye alikuwa anajiita NGUMI JIWE vijana walicho mfanya siri yake.
Dah mkuu unafuatilia video za vichochoroni mbaya dah hadi ww uliiona ile video [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo anaongea tu kuna mwenzake naye alikuwa anajiita NGUMI JIWE vijana walicho mfanya siri yake.
Anacheza kweli huyo dogo. Wanatekwa highly trained soldiers sembuse yeye???Kuna watu wanaleta utani na manati ya mzungu. 90% ya wabongo wanayaona manati ya mzungu kwenye movies. Unatakiwa ukutane nayo live halafu ifyatuliwe juu karibu na hapo hapo ulipo. Baada ya hapo tuletee hadithi ya ujasiri.
Nadhani gym na mazoezi mengine ya mapigano,bhangi vyote kwa pamoja hupunguza sana uwezo wa kufikiriHata mimi ningeua wanne palepale kabla hawajaniteka, Roma anatakiwa aje nimmpe maujuzi ya kutumia mikono na miguu sio mdomo mrefu kumbe kiuno bila mfupa tu.
Umenchekesha sanaKuna kipindi nilisomaga kitabu cha willy gamba,
Basi nikatoka hom ili nipambane na migambo waliokua wanatoza kodi mtaani maana walikua wanaboa kinyama
Namshukuru Mungu walinivunja meno mawili tu
Huyo anaongea tu kuna mwenzake naye alikuwa anajiita NGUMI JIWE vijana walicho mfanya siri yake.