Kalapina awataka wale waliomteka Roma Mkatoliki wakamteke na Yeye ili awaonyeshe Kazi

Anafananisha tukio la roma kama lile walilolifanya kikosi cha mizinga kumteka solo thang eeh? huku watekaji walikuja na bunduki na hadi leo hakuna anaetafutwa kuhusiana na tukio lile
 
Uyo bodyguard mwenye matako makubwa watamunyoso
 

Habari za rwanda mkuu
 
Atakuwa ametoka kuangalia movie ya War Bus au No Retreat No Surender.
Jamaa anajichukulia kama Bolo Yeung. Hajui shotokan inaweza kummwaga mchuzi.
 
Kuna kipindi nilisomaga kitabu cha willy gamba,

Basi nikatoka hom ili nipambane na migambo waliokua wanatoza kodi mtaani maana walikua wanaboa kinyama

Namshukuru Mungu walinivunja meno mawili tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .......wengine tunalalia chaga tupu mbavu zetu zipo hatarini sasa na vichekesho kama hivi mtatumalizaaaaa
 
hahahaha huyu ana tafuta kiki... hata Roma alishawai kusema leta deffender,leta wajeda lakini nasikia waliokuja walikuwa kwenye Noah.....
Huyu ana tafuta kiki
[emoji23] [emoji23]
 
Kuna kipindi nilisomaga kitabu cha willy gamba,

Basi nikatoka hom ili nipambane na migambo waliokua wanatoza kodi mtaani maana walikua wanaboa kinyama

Namshukuru Mungu walinivunja meno mawili tu
Hah hah hah weekend njema kwangu.
 
Huyu jamaa mwenzake alisema walete defenda walete mijeda.. aka letewa noah anajua nini kili mkumba
 
Iv kwel una amini kwamba kule hakuna wakorof aiseee pole yako
 
Imekaa viba hii bado haijatulia ila siku hiyo ndio utaona kuwa iko kwenye box halafu inatingishika

We kali p endekea kuwa tukana ili uwachokonoe waje wakutie kifweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…