Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #21
Samahani mkuu nje ya mada, ivi Mukoko alitaka kumfanyaje Calinyos, mbona ataki kulala nae (kushare) chumba kimoja ?!Onyango alifaanya nini kikubwa kwa Gor Mahia katika michuano yaa kimataifa?
Akina onyaango ni komedi tu
Wewe umesikia wapi?Samahani mkuu nje ya mada, ivi Mukoko alitaka kumfanyaje Calinyos, mbona ataki kulala nae (kushare) chumba kimoja ?!
Niuwie radhi.Wewe umesikia wapi?
Hiki ndo chanzo.cha taarifa?Niuwie radhi.View attachment 1556989
Nimekuuliza tu mjumbe.Hiki ndo chanzo.cha taarifa?
Nimekuuliza tu mjumbe.
Mbona kama tabia chafu inainyemelea utopolo au walimwona mtoto wa wa watu ni mchele mcheleNiuwie radhi.View attachment 1556989
Asante, maana niljua Mukoko kamfanya vibaya mwenzake maana wakongo siwaamini hasa wakishabwia 'mkongo' asante.Achana na hizo habari za vijiwe vya kahawa, timu ya wananchi ina msemaji wake sio hao wahuni wa vijiweni
Eeeh maana nasikia wanamwita MB, cutie sasa Mukoko akila 'mkongo' anakuwa na tabia zisizo.Mbona kama tabia chafu inainyemelea utopolo au walimwona mtoto wa wa watu ni mchele mchele
Kuna clip inasambaa wakiwa kwenye mazoezi mukoko anamchomekea jezi kalinho ,tena kwa mbele kwa kuingiza mkono ndani ,dogo akamind flani hivi ,mukoko atakuja kuwafanyia wote mchezo mchafu pale utopoloEeeh maana nasikia wanamwita MB, cutie sasa Mukoko akila 'mkongo' anakuwa na tabia zisizo.
Mkuu iweke hapa, Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hA.Kuna clip inasambaa wakiwa kwenye mazoezi mukoko anamchomekea jezi kalinho ,tena kwa mbele kwa kuingiza mkono ndani ,dogo akamind flani hivi ,mukoko atakuja kuwafanyia wote mchezo mchafu pale utopolo
1. East Africa. Simba ScAll the best my squad, the [emoji881][emoji1241]
I believe this time we are going to do better in the tournament!1. East Africa. Simba Sc
Kumbe ka ngeli mkuu umo!. Hapa ata sven ataelewa , SaluteI believe this time we are going to do better in the tournament!
Our team deserves winning and trophies! Come on Lions![emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91]
Timu Bora Africa Mashariki
Hahaahahah! Sisi Simba wakimataifa[emoji23], sema wapinzani wetu wa miaka yote Ni waarabu wa Afrika ya kaskazini huko, inabidi kukaza haswaa!Kumbe ka ngeli mkuu umo!. Hapa ata sven ataelewa , Salute
Cha msingi uahirikiano tu. Timu tunayo nzuriHahaahahah! Sisi Simba wakimataifa[emoji23], sema wapinzani wetu wa miaka yote Ni waarabu wa Afrika ya kaskazini huko, inabidi kukaza haswaa!
πππ£π ππππ ππππ ππππ£π π£πππππππ π π ππππ ππππππ πππππππππ ππππππππ π’π π²π°π΅, ππ π ππππ ππ πππππ π’πππ ππππππππππππ πππππ πππ πππππ ππππ ππππ’π ππππ ππππππMbumbumbu fc, shikamoo fc, mnaenda kuchezea sita sita mmeongeza vibabu sambamba na magoli mtakayo ruhusu.
Mi huwa naangalia najaribu kulinganisha, hivi team Kama zesco ukitazama wanatuzidi kipi? Lakini kucheza CL kwao Ni kawaida( kuanzia group stage).Cha msingi uahirikiano tu. Timu tunayo nzuri
Mkuu asante kwa Hoja yako nzito.πππ£π ππππ ππππ ππππ£π π£πππππππ π π ππππ ππππππ πππππππππ ππππππππ π’π π²π°π΅, ππ π ππππ ππ πππππ π’πππ ππππππππππππ πππππ πππ πππππ ππππ ππππ’π ππππ ππππππView attachment 1557028