Kalenda ya mashindano ya 'CAF 2020/2021', imetoka rasmi

Kalenda ya mashindano ya 'CAF 2020/2021', imetoka rasmi

Wewe umesikia wapi?
Niuwie radhi.
IMG-20200902-WA0005.jpg
 
Achana na hizo habari za vijiwe vya kahawa, timu ya wananchi ina msemaji wake sio hao wahuni wa vijiweni
Asante, maana niljua Mukoko kamfanya vibaya mwenzake maana wakongo siwaamini hasa wakishabwia 'mkongo' asante.
 
Mbona kama tabia chafu inainyemelea utopolo au walimwona mtoto wa wa watu ni mchele mchele
Eeeh maana nasikia wanamwita MB, cutie sasa Mukoko akila 'mkongo' anakuwa na tabia zisizo.
 
Eeeh maana nasikia wanamwita MB, cutie sasa Mukoko akila 'mkongo' anakuwa na tabia zisizo.
Kuna clip inasambaa wakiwa kwenye mazoezi mukoko anamchomekea jezi kalinho ,tena kwa mbele kwa kuingiza mkono ndani ,dogo akamind flani hivi ,mukoko atakuja kuwafanyia wote mchezo mchafu pale utopolo
 
Kuna clip inasambaa wakiwa kwenye mazoezi mukoko anamchomekea jezi kalinho ,tena kwa mbele kwa kuingiza mkono ndani ,dogo akamind flani hivi ,mukoko atakuja kuwafanyia wote mchezo mchafu pale utopolo
Mkuu iweke hapa, Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hA.
 
I believe this time we are going to do better in the tournament!

Our team deserves winning and trophies! Come on Lions![emoji881][emoji881][emoji881][emoji91][emoji91][emoji91]

Timu Bora Africa Mashariki
Kumbe ka ngeli mkuu umo!. Hapa ata sven ataelewa , Salute
 
Mbumbumbu fc, shikamoo fc, mnaenda kuchezea sita sita mmeongeza vibabu sambamba na magoli mtakayo ruhusu.
𝚑𝚒𝚣𝚘 𝚜𝚒𝚝𝚊 𝚜𝚒𝚝𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚣𝚘 𝚣𝚒𝚕𝚒𝚔𝚞𝚙𝚊 𝚠𝚠 𝚟𝚒𝚝𝚒 𝚖𝚊𝚊𝚕𝚞𝚖 𝚔𝚞𝚜𝚑𝚒𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚞𝚊𝚗𝚘 𝚢𝚊 𝙲𝙰𝙵, 𝚔𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚗𝚒 𝚑𝚒𝚊𝚛𝚒 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚔𝚞𝚖𝚜𝚑𝚊𝚗𝚐𝚒𝚕𝚒𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚋𝚊 𝚒𝚕𝚒 𝚞𝚙𝚊𝚝𝚎 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚑𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚟𝚒𝚝𝚒 𝚖𝚊𝚊𝚕𝚞𝚖
JamiiForums-545207708.jpg
 
Cha msingi uahirikiano tu. Timu tunayo nzuri
Mi huwa naangalia najaribu kulinganisha, hivi team Kama zesco ukitazama wanatuzidi kipi? Lakini kucheza CL kwao Ni kawaida( kuanzia group stage).

Inatakiwa Simba ijitahidi kufocus kwenye CL competitions ili club ijiendeshe kwa faida.
 
𝚑𝚒𝚣𝚘 𝚜𝚒𝚝𝚊 𝚜𝚒𝚝𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚣𝚘 𝚣𝚒𝚕𝚒𝚔𝚞𝚙𝚊 𝚠𝚠 𝚟𝚒𝚝𝚒 𝚖𝚊𝚊𝚕𝚞𝚖 𝚔𝚞𝚜𝚑𝚒𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚞𝚊𝚗𝚘 𝚢𝚊 𝙲𝙰𝙵, 𝚔𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚜𝚊 𝚗𝚒 𝚑𝚒𝚊𝚛𝚒 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚔𝚞𝚖𝚜𝚑𝚊𝚗𝚐𝚒𝚕𝚒𝚊 𝚜𝚒𝚖𝚋𝚊 𝚒𝚕𝚒 𝚞𝚙𝚊𝚝𝚎 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚑𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚟𝚒𝚝𝚒 𝚖𝚊𝚊𝚕𝚞𝚖View attachment 1557028
Mkuu asante kwa Hoja yako nzito.
 
Back
Top Bottom