Waalimu walicho mfanya mpwayanguvillage alisomewa Albadr kaanza kusema yasio semeka hadharani sasa chunga kauli zako dhidi ya waalimu........mwanaume kamiri utatamani je kua mwanamke!!!!!Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
Wapi kasema yeye mwalimu?We mwalimu gani nanga hujui taratibu za kazi yako unakuja kuuliza huku? Ndiyo maana mnatukanwa.
Imejini sasa hivi ungekuwa mke wa mwalimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walimu ni mabwege tu, hayajitambui. Anyway sijui kwakwel kuhusu hizo ratiba maana mm sio mwalimu
😁😁mpwayungu kapigwa kombora....... Kaanza kutoa ya moyoni anatamani kua bi zainabWaalimu walicho mfanya mpwayanguvillage alisomewa Albadr kaanza kusema yasio semeka hadharani sasa chunga kauli zako dhidi ya waalimu........mwanaume kamiri utatamani je kua mwanamke!!!!!
Sasa swala la shule kufungwa ama kufunguliwa ni la mwalimu? Nyinyi wazazi ndio mlalamike … walimu wanapiga kazi hata kama ni mwaka mzimaWalimu mnaburutwaga sana sijui Kwa nini
Mtoto si RIZKI HUYU anataka mjegeje kama amber ruthWalimu ni mabwege tu, hayajitambui. Anyway sijui kwakwel kuhusu hizo ratiba maana mm sio mwalimu
Wapi kasema yeye mwalimu?
Vyovyote vile, anawananga walimu kumbe hata hajui kusoma akelewa, its hypocrisy!Wajuaji wa nyuma ya keyboard
Asante madam
Mara 17, mara 18. Uwiiiiiih