Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Mimi nimeziona mbili ila sijachunguzu ipi ya kwanza kutoka ngoja nitafute jibu la uhakikaMara 17, mara 18. Uwiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeziona mbili ila sijachunguzu ipi ya kwanza kutoka ngoja nitafute jibu la uhakikaMara 17, mara 18. Uwiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuzuga, wewe ni Mwalimu wa Sekondari iliyopo kata ya.........Walimu ni mabwege tu, hayajitambui. Anyway sijui kwakwel kuhusu hizo ratiba maana mm sio mwalimu
DuuuuhMimi nimeziona mbili ila sijachunguzu ipi ya kwanza kutoka ngoja nitafute jibu la uhakika
😀😀Aunt mm najua ya tareh 17 nyingine niliona sikuifatilia aiseeDuuuuh
Na ndio wamekufundisha unajua hata kutukana kwa maandishi.Walimu ni mabwege tu, hayajitambui. Anyway sijui kwakwel kuhusu hizo ratiba maana mm sio mwalimu
Kwa hapa neno 'hypocrisy' si pahala pakeVyovyote vile, anawananga walimu kumbe hata hajui kusoma akelewa, its hypocrisy!
Mkuu ukiwa kwenye social media usijione wewe ni mwerevu kuliko wengine soma post zote utaona Bado Kuna contradiction na mpk imekuja humu jua hizo source ulizotaja zishapitiwa na ndio utata ulipo.Government works on paper! Wewe hizo ratiba za mihula ulipata wapi zote mbili zinazokuchanganya??? Jitahidi kutafuta taarifa sahihi kupitia vyanzo sahihi na kwa wakati sahihi. Muulize mwalimu mkuu wa shule anayosoma mtoto wako atakuambia tarehe ya kufunga na kufungua. Habari za kuchanganywa unajichanganya mwenyewe
Last year ilifunguliwa Jumanne baada ya Jumatatu ya Pasaka.Pasaka ni Tar 09/04/2023. Tar 10 ni Jumatatu ya Pasaka. Haiwezekani shule kufunguliwa Tar 11/4.
Hivyo, nadhani hiyo ya Tar 17/04/2022 ndiyo sahihi.
Ni mahala pake hasa! Maana hana tofauti na hao walimu anaowananga, na pengine hata yupo worse..Kwa hapa neno 'hypocrisy' si pahala pake
Walimu ni mabwege tu, hayajitambui. Anyway sijui kwakwel kuhusu hizo ratiba maana mm sio mwalimu
Wewe ndio unajichanganya,Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
Umesahau mwaka jana ratiba ilivurugika mno kutokana na swala la sensa?Last year ilifunguliwa Jumanne baada ya Jumatatu ya Pasaka.
mpwayungu village mwalimu wa fedha njoo huku waitwaKalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
Ndio kuburutwa kwenyewe ukoSasa swala la shule kufungwa ama kufunguliwa ni la mwalimu? Nyinyi wazazi ndio mlalamike … walimu wanapiga kazi hata kama ni mwaka mzima
Bwege LA Mabwege. Nakuona sana kule Uzi wa kubadilishana vituo sijui unataka kuhamia wapi? Nakulaani wewe Umbwa MkuuWalimu ni mabwege tu, hayajitambui. Anyway sijui kwakwel kuhusu hizo ratiba maana mm sio mwalimu
Ila itakua j3, ni tar ipi??[emoji3][emoji3]Aunt mm najua ya tareh 17 nyingine niliona sikuifatilia aisee
Mbona umetumia nguvu kubwa kumlaani kijana wa kigogo mkuu?Bwege LA Mabwege. Nakuona sana kule Uzi wa kubadilishana vituo sijui unataka kuhamia wapi? Nakulaani wewe Umbwa Mkuu