Kaligraph Jones ni mwamba wa michano.

Kaligraph Jones ni mwamba wa michano.

emmadizzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,445
habari zenu wadau wa hiphop/rap naona harakati zinaendelea, niende kwenye mada itoshe kusema kaligraph jones anajiamini alafu ameshaona gemu ya ya bongo upande wa rap imedrop sana anadai watu saizi wanaimba amapiano tu.

basi uyu nguli amekuja na challenge kwa bongo akatoa 24hrs mtu ashushe michano mikali kumpinga alichosema, shukrani kwa rosaree kamchallenge vilivyo kidogo jamaa kaelewa, ila bado ukweli unabaki bongo rap/hiphop imepotea sana tofauti na miaka ya 2010 kushuka chini.

Shida ni nini bongo tumepoteza ufalme wetu afrika mashariki na kati apo nyuma vijana wa lunduno walichangamsha gemu ila saizi kama speed imeshuka sana tatizo ni nini bongo na nini kifanyike..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo tatizo letu ni elimu.... Hapo mtu kajisifu yeye ni Rapper mkali East Africa... Badala watu wafanye yao kuuthibitisha uongo wake ila wao wanaanza kum attack... kwani yeye kasema ni Rapper mkali wa kuattack watu... napo hajarap kaandika tuu watu wanamjibu kwa ku rap... sasa tutanishaje jamaa ni zaidi ya hawa wakurupukaji wetu waliopo katika Hii Hofu.!!!
 
Back
Top Bottom