emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,340
- 1,445
habari zenu wadau wa hiphop/rap naona harakati zinaendelea, niende kwenye mada itoshe kusema kaligraph jones anajiamini alafu ameshaona gemu ya ya bongo upande wa rap imedrop sana anadai watu saizi wanaimba amapiano tu.
basi uyu nguli amekuja na challenge kwa bongo akatoa 24hrs mtu ashushe michano mikali kumpinga alichosema, shukrani kwa rosaree kamchallenge vilivyo kidogo jamaa kaelewa, ila bado ukweli unabaki bongo rap/hiphop imepotea sana tofauti na miaka ya 2010 kushuka chini.
Shida ni nini bongo tumepoteza ufalme wetu afrika mashariki na kati apo nyuma vijana wa lunduno walichangamsha gemu ila saizi kama speed imeshuka sana tatizo ni nini bongo na nini kifanyike..?
Sent using Jamii Forums mobile app