Mwamnyeto anafatia.Nani anafatia baada ya Carinhos..?
Sarpong
Saidoo
Niyonzima
Fiston
Nani anafatia baada ya Carinhos..?
Sarpong
Saidoo
Niyonzima
Fiston
Wakati Simba mabilioni sports club wakivuna mabilioni kilasiku,kwa upande wa pili hali ni mbaya kiasi wachezaji kutolipwa posho na mishahara yao.
Cha kushangaza ni kwamba badala ya kushughulikia matatizo yao kutwa kucha wanaiombea mabaya.
Dogo alisema Yanga hali vizuri ,Yanga acheni kuwalisha wachezaji ugali na wapi maharage
Aligoma kula mayai vinza na aligoma kulala bed Moja na mwamunyeto kwa mantiki hii,sisi kama yanga alikiuka miiko yetu hatufai
Ajabu nyie ndio mna umia kuliko Yanga wenyeweMchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.
Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.
Nakaribisha michango.
Kila mkiomba mabaya kwa Simba yanawarudia wenyewe,na bado kuna mtifuano mkubwa unawanyemelea nyinyi vyura.Ajabu nyie ndio mna umia kuliko Yanga wenyewe
.Kila mkiomba mabaya kwa Simba yanawarudia wenyewe,na bado kuna mtifuano mkubwa unawanyemelea nyinyi vyura.
Wapi tumeumia mkuuAjabu nyie ndio mna umia kuliko Yanga wenyewe
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji119][emoji119]Alichofanikiwa huyo albino wa Angola alipokuwa hapa Bongo ni kvmt0mb@ Sepenga tu.
Utopolo huu mwaka kwenu ni mwaka wa nuksi juu ya nuksi,na bado.
Dhuuuu hii nayo n ya wapi tenaNa Vipi mkuu habari ya lamine Moro kwenda ofisini kwa injinia na kuanza kumtwanga makonde sababu kubwa ni injinia kutopokea simu ya lamine inasemekana walinzi walikua karibu wakawai kumuokoa injinia mpaka sasa habari ipoje?