Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Rostema

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
2,926
Reaction score
9,470
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.

Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.

Nakaribisha michango.

1622452968920.png
 
Wakati Simba mabilioni sports club wakivuna mabilioni kilasiku,kwa upande wa pili hali ni mbaya kiasi wachezaji kutolipwa posho na mishahara yao.
Cha kushangaza ni kwamba badala ya kushughulikia matatizo yao kutwa kucha wanaiombea mabaya.
 
Nani anafatia baada ya Carinhos..?

Sarpong
Saidoo
Niyonzima
Fiston
Wakati Simba mabilioni sports club wakivuna mabilioni kilasiku,kwa upande wa pili hali ni mbaya kiasi wachezaji kutolipwa posho na mishahara yao.
Cha kushangaza ni kwamba badala ya kushughulikia matatizo yao kutwa kucha wanaiombea mabaya.
Dogo alisema Yanga hali vizuri ,Yanga acheni kuwalisha wachezaji ugali na wapi maharage
Aligoma kula mayai vinza na aligoma kulala bed Moja na mwamunyeto kwa mantiki hii,sisi kama yanga alikiuka miiko yetu hatufai
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.

Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.

Nakaribisha michango.

Ajabu nyie ndio mna umia kuliko Yanga wenyewe
 
Vyura fc mnazingua hamjamlipa dogo posho zake na mishahara na mtu akidai mnamuweka bench washenz kabsa jamaa anajielewa ndo maana kasepaaa...
 
Alichofanikiwa huyo albino wa Angola alipokuwa hapa Bongo ni kvmt0mb@ Sepenga tu.
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Na Vipi mkuu habari ya lamine Moro kwenda ofisini kwa injinia na kuanza kumtwanga makonde sababu kubwa ni injinia kutopokea simu ya lamine inasemekana walinzi walikua karibu wakawai kumuokoa injinia mpaka sasa habari ipoje?
 
Dhuuuu hii nayo n ya wapi tena
 
Back
Top Bottom