Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Abebwe wapi? Hata kumsindikiza nooh, mie nimeona video akiwaa anayeya usiku wa jana, mabegi km 4 hiv, na jingne mgongoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemfollow instagram.
 

Tangu lini majina yanayoishia na NHO wanajua mpira!!!
 
Kweli hawa wachambuzi uchwara hutosikia wanalizungumzia ili,
Wao kutwa habari mbaya juu ya Simba
 
Hapa ilikua wapi? Halafu anaonekana mpole na mtaratibu, ametulia kimya mwenyewe.
Apo ni baada ya kukosa msosi utopoloni, kwahio alienda kujichanganya na mashubwata.
 
Wakati Simba mabilioni sports club wakivuna mabilioni kilasiku,kwa upande wa pili hali ni mbaya kiasi wachezaji kutolipwa posho na mishahara yao.
Cha kushangaza ni kwamba badala ya kushughulikia matatizo yao kutwa kucha wanaiombea mabaya.
Nusu fainali ya CAF mnakipiga na nani eti
 
Mwanaume kuwa mnafiki haifai
Unafiki ni pale kujionesha unahali nzuri wakati huna kitu mfukoni kama jalala.
Yanga kuanzia mashabiki, wachezaji na wamiliki wote wanafiki.
Mwenye akili timam ataelewa kwann naongea hivi.

Ambae ataukataa unafki wa yanga daima hawezi kuendelea kuwa pale utopolini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…