Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Abebwe wapi? Hata kumsindikiza nooh, mie nimeona video akiwaa anayeya usiku wa jana, mabegi km 4 hiv, na jingne mgongoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemfollow instagram.
 
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.

Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.

Nakaribisha michango.

Tangu lini majina yanayoishia na NHO wanajua mpira!!!
 
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.

Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.

Nakaribisha michango.

Kweli hawa wachambuzi uchwara hutosikia wanalizungumzia ili,
Wao kutwa habari mbaya juu ya Simba
 
Hapa ilikua wapi? Halafu anaonekana mpole na mtaratibu, ametulia kimya mwenyewe.
Apo ni baada ya kukosa msosi utopoloni, kwahio alienda kujichanganya na mashubwata.
 
Wakati Simba mabilioni sports club wakivuna mabilioni kilasiku,kwa upande wa pili hali ni mbaya kiasi wachezaji kutolipwa posho na mishahara yao.
Cha kushangaza ni kwamba badala ya kushughulikia matatizo yao kutwa kucha wanaiombea mabaya.
Nusu fainali ya CAF mnakipiga na nani eti
 
Mwanaume kuwa mnafiki haifai
Unafiki ni pale kujionesha unahali nzuri wakati huna kitu mfukoni kama jalala.
Yanga kuanzia mashabiki, wachezaji na wamiliki wote wanafiki.
Mwenye akili timam ataelewa kwann naongea hivi.

Ambae ataukataa unafki wa yanga daima hawezi kuendelea kuwa pale utopolini.
 
Back
Top Bottom