cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.Hivi unadhani ni jambo zuri kila siku kula mihogo na kachumbari tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.Hivi unadhani ni jambo zuri kila siku kula mihogo na kachumbari tu.
Umemfollow instagram.Abebwe wapi? Hata kumsindikiza nooh, mie nimeona video akiwaa anayeya usiku wa jana, mabegi km 4 hiv, na jingne mgongoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walichomfanyia sio uungwana kabisa.Ndipo tatizo la mihemko
YesUmemfollow instagram.
Muarabu na jicho ni pale paleDuuuh hali ni mbaya kwa kweli lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie username yako PM
Wangembebea hata bagsWalichomfanyia sio uungwana kabisa.
Wenge la Kaiser lishaisha??Utopolo huu mwaka kwenu ni mwaka wa nuksi juu ya nuksi,na bado.
Zungumzia na ile Morisson anataka kumla denda Mugalu mbele ya vyombo vya habari.[emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna tetesi baadhi ya wachezaji wanaombwa kiboga na kocha mmoja wa uto, wakikataa wanaitwa watovu wa nidham.
Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.
Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.
Nakaribisha michango.
Kweli hawa wachambuzi uchwara hutosikia wanalizungumzia ili,Mchezaj wa kimataifa wa Yanga mwenye asili ya kiangola amevunja mkataba wake na yanga na kuelekea kwao angola sababu hazijaeleweka ila chini ya kapet ni kuwa maisha ya utopoloni yamemshinda.
Habari hii watangazaji uchwara wa tanzania hawataizungumza kwa mapana na marefu, lakin kama ingetokea kwa upande wa simba media zingechafuka.
Nakaribisha michango.
Mwanaume kuwa mnafiki haifaiApo ni baada ya kukosa msosi utopoloni, kwahio alienda kujichanganya na mashubwata.
Nusu fainali ya CAF mnakipiga na nani etiWakati Simba mabilioni sports club wakivuna mabilioni kilasiku,kwa upande wa pili hali ni mbaya kiasi wachezaji kutolipwa posho na mishahara yao.
Cha kushangaza ni kwamba badala ya kushughulikia matatizo yao kutwa kucha wanaiombea mabaya.
Unafiki ni pale kujionesha unahali nzuri wakati huna kitu mfukoni kama jalala.Mwanaume kuwa mnafiki haifai
Na wee unapenda lol, [emoji23][emoji23][emoji23]Muarabu na jicho ni pale pale
Nkutumie username angu tena? DuuuhNitumie username yako PM
Yaan walimuacha mwenyewe anahangaika na mizigo lol.Wangembebea hata bags