Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,470
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna tetesi baadhi ya wachezaji wanaombwa kiboga na kocha mmoja wa uto, wakikataa wanaitwa watovu wa nidham.Na Vipi mkuu habari ya lamine Moro kwenda ofisini kwa injinia na kuanza kumtwanga makonde sababu kubwa ni injinia kutopokea simu ya lamine inasemekana walinzi walikua karibu wakawai kumuokoa injinia mpaka sasa habari ipoje?