Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Na Vipi mkuu habari ya lamine Moro kwenda ofisini kwa injinia na kuanza kumtwanga makonde sababu kubwa ni injinia kutopokea simu ya lamine inasemekana walinzi walikua karibu wakawai kumuokoa injinia mpaka sasa habari ipoje?
[emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna tetesi baadhi ya wachezaji wanaombwa kiboga na kocha mmoja wa uto, wakikataa wanaitwa watovu wa nidham.
 
Yaan leo nimesikiliza comment za wanao jiita wachambuzi wa soka la bongo hasa wa vituo vya wasaf na e fm ...eti leo wana sema huyu dogo ni mchezaji wa kawaida sanaa

Lkn kipindi cha nyuma hawa hawa walikuwa wanasema huyu jamaa sio mchezo ni super sub cross zake balaaa

Aliwahi kuwaita takataka mtu mmoja na miee leo nimejidhihirishia hawa jamaa wasaka tonge tu.

Na taarifa za chini ya kapeti wapo wengine wana jiandaa kujiondokea as soon as possible ....it is just a matter of time
 
dah, wazungu wanaishi hapa, yeye ametoka tu hapo utopolo wa angola anasema ameshindwa vyakula vya tz? angola wanakula nini? uyo ni koko tu hana lolote.
 
Aligoma kula mayai vinza na aligoma kulala bed Moja na mwamunyeto kwa mantiki hii,sisi kama yanga alikiuka miiko yetu hatufai
Kwanini akatae? Na Si mngempeleka kwa mtu anayetaka kulala nae bed 1.
 
Na Vipi mkuu habari ya lamine Moro kwenda ofisini kwa injinia na kuanza kumtwanga makonde sababu kubwa ni injinia kutopokea simu ya lamine inasemekana walinzi walikua karibu wakawai kumuokoa injinia mpaka sasa habari ipoje?
Huu upuuzi ulio andika huoni aibu?
 
Nikweli hata ningekua mimi, biashara ambayo hailipi si bora nifunge tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna tetesi baadhi ya wachezaji wanaombwa kiboga na kocha mmoja wa uto, wakikataa wanaitwa watovu wa nidham.
Duuuh hali ni mbaya kwa kweli lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna tetesi baadhi ya wachezaji wanaombwa kiboga na kocha mmoja wa uto, wakikataa wanaitwa watovu wa nidham.
Ila jF bwana,kwamba wachezaji wa Yanga wanaombwa kiboga? 😃😃😃.
 
Hivi unadhani ni jambo zuri kila siku kula mihogo na kachumbari tu.
 
Back
Top Bottom