Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

Kalinyos amevunja mkataba na Yanga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani dhambi hizi khaaah.
FB_IMG_1622445863667.jpg
 
Uto wanaroho mbaya sana kijana wa watu ameondoka na mabegi manne amejaza miswaki ya miti na dawa ya whitedent ya kijan kama zawadi awapelekee kwao Angola.
Si huwa wanasema zawadi ni zawadi mkuu? Ila why miswaki ya miti? Kwamba hatuwezi hata kumnunulia miswaki?😀😀
 
Back
Top Bottom