cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mmmmmh wee nae khaaah.Zungumzia na ile Morisson anataka kumla denda Mugalu mbele ya vyombo vya habari.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh wee nae khaaah.Zungumzia na ile Morisson anataka kumla denda Mugalu mbele ya vyombo vya habari.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani dhambi hizi khaaah.Apo ni baada ya kukosa msosi utopoloni, kwahio alienda kujichanganya na mashubwata.
Si huwa wanasema zawadi ni zawadi mkuu? Ila why miswaki ya miti? Kwamba hatuwezi hata kumnunulia miswaki?😀😀Uto wanaroho mbaya sana kijana wa watu ameondoka na mabegi manne amejaza miswaki ya miti na dawa ya whitedent ya kijan kama zawadi awapelekee kwao Angola.
Si huwa wanasema zawadi ni zawadi mkuu? Ila why miswaki ya miti? Kwamba hatuwezi hata kumnunulia miswaki?[emoji3][emoji3]
Yaani Kuna watu wana matusi jamani😀😀😀 miswaki ya miti🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sijawahi mkuuNa wee unapenda lol, [emoji23][emoji23][emoji23]