Kalio linavyobadlisha maisha ya 'maslay queen'

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Ndiyo! Unajua nashangaa sana, kuna mabinti ambao wameishia la 7, yupo mmoja namjua, yaani katoka mkoa alikua anauza bar. Ni binti aliyejaliwa kalio kubwa sana, kwa sasa naona maisha yake yamebadlika sana na picha anazoweka status ni za kushawishi sana, wakati mwingine makalio wazi biashara.

Anaendesha, nyumba nzuri, biashara kubwa. Kwa sasa mwanamke mwenye Shahada anaufyata mbele ya mwenye kalio. Ndiyo, biashara ya nnya imekua kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu tafuta hela.
Endelea kutafuta.
Bado hujafika level za kukaribisha watu jf kutumia hela.
Kwa kawaida wenye hela huwa hawahesabu na kukunja hivyo hela.
Abadan asilani.
Angeonyesha bundles , ten folds of ten thouthand bills sio appetite ya watu walio cash loaded .
 
Nimetapika, nikikumbuka zile rangi za ukoko kwenye mistari ya kalio na pafume huwa sio ya nchi hii.
Kuna yule mlokole feki muna sijui ndio alienda uturuki kajaziwa matambara sio poa,
Mwenyewe anatangaza hilo tako km kitu cha maana watu tunafkiria harufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…