comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Ndiyo! Unajua nashangaa sana, kuna mabinti ambao wameishia la 7, yupo mmoja namjua, yaani katoka mkoa alikua anauza bar. Ni binti aliyejaliwa kalio kubwa sana, kwa sasa naona maisha yake yamebadlika sana na picha anazoweka status ni za kushawishi sana, wakati mwingine makalio wazi biashara.
Anaendesha, nyumba nzuri, biashara kubwa. Kwa sasa mwanamke mwenye Shahada anaufyata mbele ya mwenye kalio. Ndiyo, biashara ya nnya imekua kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3]
Anaendesha, nyumba nzuri, biashara kubwa. Kwa sasa mwanamke mwenye Shahada anaufyata mbele ya mwenye kalio. Ndiyo, biashara ya nnya imekua kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3]