Kalio linavyobadlisha maisha ya 'maslay queen'

Kalio linavyobadlisha maisha ya 'maslay queen'

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Ndiyo! Unajua nashangaa sana, kuna mabinti ambao wameishia la 7, yupo mmoja namjua, yaani katoka mkoa alikua anauza bar. Ni binti aliyejaliwa kalio kubwa sana, kwa sasa naona maisha yake yamebadlika sana na picha anazoweka status ni za kushawishi sana, wakati mwingine makalio wazi biashara.

Anaendesha, nyumba nzuri, biashara kubwa. Kwa sasa mwanamke mwenye Shahada anaufyata mbele ya mwenye kalio. Ndiyo, biashara ya nnya imekua kubwa sana.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hiyo na wewe kama unatamani ungekuwa na kalio vile bila shaka, ili uweke status kushawishi, udrive, nyumba nzuri, biashara kubwa!!!

Halafu mbona hayo makalio yenyewe makubwa ni mazuri kwa nje tu! Au Nasema Uongo Ndugu Zangu !
Acha hasira boss, njoo tutumie
IMG_20221017_113930_794.jpg
 
Mkuu tafuta hela.
Endelea kutafuta.
Bado hujafika level za kukaribisha watu jf kutumia hela.
Kwa kawaida wenye hela huwa hawahesabu na kukunja hivyo hela.
Abadan asilani.
Angeonyesha bundles , ten folds of ten thouthand bills sio appetite ya watu walio cash loaded .
 
Nimetapika, nikikumbuka zile rangi za ukoko kwenye mistari ya kalio na pafume huwa sio ya nchi hii.
Kuna yule mlokole feki muna sijui ndio alienda uturuki kajaziwa matambara sio poa,
Mwenyewe anatangaza hilo tako km kitu cha maana watu tunafkiria harufu
 
Back
Top Bottom