KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

Jesusie

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
1,466
Reaction score
766

SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.

===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.

Akizungumza leo Agosti 18, 2022 wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Tabora, amesema Chama hakiungi mkono udhalilishaji wowote na inafuatilia hatua kwa hatua jambo hilo.

“Nataka niseme na hili la udhalilishaji wanawake kingono, nimelikuta Kaliua na lipo Sikonge, lakini hata kwenye maeneo mengine kwa watumishi wa umma, ujumbe umefika, wenye hiyo tabia waache, waache kuwadhalilisha dada zetu, waache kuwadhalilisha mama zetu, waache kuwadhalilisha ndugu zetu wa kike hapa Sikonge, hiyo tabia imeshamiri kwa sababu tu kuna mtu anadhamana, ana fursa ya kuwasaidia wengine.

“Hamuwasaii mama zetu, hamsaidii dada zetu mpaka muwadhalilishe kingono, Chama kinafuatilia kwa karibu sana, hataturahusu udhalilishaji wa aina yoyote kwa wanawake ndani ya nchi hii, wanawake hawa wanauwezo mkubwa sana katika kufungua fursa za maendeleo katika taifa letu.

“Wakithubutu akina mama wanaweza, hatuwezi kuacha uthubutu wao kwa sababu tu sisi akina baba baadhi yetu tunashindwa kuzuia hisia zetu, tena sio kushindwa kuzuia hisia zetu ila hatuna adabu tu, ni utovu wa adabu tuliokuwa nao”.
 
View attachment 2328177

Naungana na bwana Shaka kwenye hili,

Kwanza, Nivigumu sana kwa mwanamke kumkatalia boss wake ,

Pili, Maboss wengi ni watafuna ARVS

Tatu,Hawa wanawake wanawaume zao nyumbani ,

Ndio maana rate za maambukizi ya HIV kwa watumishi Wa Serikali iko juu sana
 
View attachment 2328177
SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.

===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.

Akizungumza leo Agosti 18, 2022 wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Tabora, amesema Chama hakiungi mkono udhalilishaji wowote na inafuatilia hatua kwa hatua jambo hilo.

“Nataka niseme na hili la udhalilishaji wanawake kingono, nimelikuta Kaliua na lipo Sikonge, lakini hata kwenye maeneo mengine kwa watumishi wa umma, ujumbe umefika, wenye hiyo tabia waache, waache kuwadhalilisha dada zetu, waache kuwadhalilisha mama zetu, waache kuwadhalilisha ndugu zetu wa kike hapa Sikonge, hiyo tabia imeshamiri kwa sababu tu kuna mtu anadhamana, ana fursa ya kuwasaidia wengine.

“Hamuwasaii mama zetu, hamsaidii dada zetu mpaka muwadhalilishe kingono, Chama kinafuatilia kwa karibu sana, hataturahusu udhalilishaji wa aina yoyote kwa wanawake ndani ya nchi hii, wanawake hawa wanauwezo mkubwa sana katika kufungua fursa za maendeleo katika taifa letu.

“Wakithubutu akina mama wanaweza, hatuwezi kuacha uthubutu wao kwa sababu tu sisi akina baba baadhi yetu tunashindwa kuzuia hisia zetu, tena sio kushindwa kuzuia hisia zetu ila hatuna adabu tu, ni utovu wa adabu tuliokuwa nao”.
Wake zetu wanaliwa sana na hawa maboss ,Asante Mr Shaka
 
Hali ni mbaya Sana, maofisini
 
Safi sana bwana Shaka Hamdu Shaka
 
Ogopa tapeli, Shaka na chama chake wako madarakani kwa wizi wa kura, ni maadili gani anaweza kusimamia?
 
Shaka is doing better
 
Back
Top Bottom