ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
DaaahAje hapa Halmashauri anaone mkurugenzi anavyotafuna watoto kwa viofa na ahadi ndogondogo,
Huu mchezo unakera sana aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaaahAje hapa Halmashauri anaone mkurugenzi anavyotafuna watoto kwa viofa na ahadi ndogondogo,
Huu mchezo unakera sana aise
Tusaidie ShakaView attachment 2328177
SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.
Akizungumza leo Agosti 18, 2022 wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Tabora, amesema Chama hakiungi mkono udhalilishaji wowote na inafuatilia hatua kwa hatua jambo hilo.
“Nataka niseme na hili la udhalilishaji wanawake kingono, nimelikuta Kaliua na lipo Sikonge, lakini hata kwenye maeneo mengine kwa watumishi wa umma, ujumbe umefika, wenye hiyo tabia waache, waache kuwadhalilisha dada zetu, waache kuwadhalilisha mama zetu, waache kuwadhalilisha ndugu zetu wa kike hapa Sikonge, hiyo tabia imeshamiri kwa sababu tu kuna mtu anadhamana, ana fursa ya kuwasaidia wengine.
“Hamuwasaii mama zetu, hamsaidii dada zetu mpaka muwadhalilishe kingono, Chama kinafuatilia kwa karibu sana, hataturahusu udhalilishaji wa aina yoyote kwa wanawake ndani ya nchi hii, wanawake hawa wanauwezo mkubwa sana katika kufungua fursa za maendeleo katika taifa letu.
“Wakithubutu akina mama wanaweza, hatuwezi kuacha uthubutu wao kwa sababu tu sisi akina baba baadhi yetu tunashindwa kuzuia hisia zetu, tena sio kushindwa kuzuia hisia zetu ila hatuna adabu tu, ni utovu wa adabu tuliokuwa nao”.
Ila ndio ukweli wenyewe huoAcha Wivu
Hao wake zetu na wao wanajipendekeza mno,Wakubaliane na viwango vya maisha walivyonavyo,Kwenye hili serikali isimame wima, hali ni mbaya Sana huko field, Njooni mtusaidie hii Mama Samia
Kwenye Serikali ya Rais Samia Suluhu haki za wanawake zimezingatiwa na haki sawa katika uongozi zimezingatiwa ,maana siku izi wanawake wengi wamekua maboss ukilinganisha na zamani hatuna wasiwasi hata hizo kesi zimepungua toka mama aingie madarakani Tanzani ni salama na SamiaView attachment 2328177
SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI.
===
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge.
Akizungumza leo Agosti 18, 2022 wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Tabora, amesema Chama hakiungi mkono udhalilishaji wowote na inafuatilia hatua kwa hatua jambo hilo.
“Nataka niseme na hili la udhalilishaji wanawake kingono, nimelikuta Kaliua na lipo Sikonge, lakini hata kwenye maeneo mengine kwa watumishi wa umma, ujumbe umefika, wenye hiyo tabia waache, waache kuwadhalilisha dada zetu, waache kuwadhalilisha mama zetu, waache kuwadhalilisha ndugu zetu wa kike hapa Sikonge, hiyo tabia imeshamiri kwa sababu tu kuna mtu anadhamana, ana fursa ya kuwasaidia wengine.
“Hamuwasaii mama zetu, hamsaidii dada zetu mpaka muwadhalilishe kingono, Chama kinafuatilia kwa karibu sana, hataturahusu udhalilishaji wa aina yoyote kwa wanawake ndani ya nchi hii, wanawake hawa wanauwezo mkubwa sana katika kufungua fursa za maendeleo katika taifa letu.
“Wakithubutu akina mama wanaweza, hatuwezi kuacha uthubutu wao kwa sababu tu sisi akina baba baadhi yetu tunashindwa kuzuia hisia zetu, tena sio kushindwa kuzuia hisia zetu ila hatuna adabu tu, ni utovu wa adabu tuliokuwa nao”.
Sana 🙂Hakika na inasikitisha sana...