KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

Tusaidie Shaka
 
Kwenye hili serikali isimame wima, hali ni mbaya Sana huko field, Njooni mtusaidie hii Mama Samia
 
Kwenye hili serikali isimame wima, hali ni mbaya Sana huko field, Njooni mtusaidie hii Mama Samia
Hao wake zetu na wao wanajipendekeza mno,Wakubaliane na viwango vya maisha walivyonavyo,
 
Kwenye Serikali ya Rais Samia Suluhu haki za wanawake zimezingatiwa na haki sawa katika uongozi zimezingatiwa ,maana siku izi wanawake wengi wamekua maboss ukilinganisha na zamani hatuna wasiwasi hata hizo kesi zimepungua toka mama aingie madarakani Tanzani ni salama na Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…