Kally Ongala atemwa Azam baada ya kuwauzia Yanga mechi

Coaches are hired to be fired

Walivumiliwaga akina Mzee Wenger na Alex Ferguson kuhudumu miaka zaidi ya 20 kwenye timu moja.
 
Unamsikiliza chizi huyo? Leo Simba, Yanga na Azzam ni mwendo wa Thank you kwenye mabenchi ya ufundi.

Simba mpaka usiku huu leo imefukuza makocha wanne, sasa sijui wamemuuzia nani mechi?
Guadiola mnene anapewa Thank You pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…