Kalooist Nenda huko, utakua nazo na viatu kama havikutoshi tafuta ya kuvaliamo,Rasta wake up,this was a code from your culture

Kalooist Nenda huko, utakua nazo na viatu kama havikutoshi tafuta ya kuvaliamo,Rasta wake up,this was a code from your culture

kalooo 25594

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
303
Reaction score
195
Wanajamvi karibuni katika kalooist jamii.

Mwili husitiriwa kwa mavazi,makazi na hiyo amani ya moyo.Katika jamii nyingi za kiafrika ni sehemu chache zilikuwepo na kuweza kuyamudu hayo, mfano huko vijijini ambako kipato,elimu na afya kama huduma ni kidogo ukilinganisha na mjini mara nyingi watu hukutana na changamoto nyingi.

Kama zilivyo leo jamii za sehemu ya uso wa dunia na zenyewe zimewahi kupitia huko ambako sisi tuendako Kutoka 14:14 ya  udhaifu na mzazi wa kile alichokizaa siku ya 7 baaada ya kusanyiko wa neno lililokuja kwa Yese(Daniel7).,Kwa msemo wa kiswahili msafiri siyo kafiri tukimanisha mtu hukumbwa na ukuaji wa aina yake kuitafuta kesho,Ukuaji huo huambatana na hatua muhimu ili kumkamilisha mtu ambaye huja kuzaa kizazi fulani katika mienendo ya udadisi,ukusanyaji wa taarifa,uhakiki na utumiaji wa vyote katika hekima,Na yote ni ili kuleta dunia bora yenye msingi wa huruma,upole na ukarimu kwa watu wa kipato chochote.

Katika muktadha wa kuwa na madhaifu  sana katika nyanja mbalimbali jamii ya kiafrika iliyopitia,mtu hata jamii huweza kupenya kutoka katika tanuru la moto uliochochewa kwa kuni za kalamu na tofari za daftari lililozua moshi machoni pa watu wengi ulioleta kundi fulani kuwa na udhaifu kimaono.Mfano ni vigumu kuelewa yaliyojificha kwa mtu,Mbona umesahau kile kikombe cha maji ya kunywa nilichokuomba?kweli sababu ni uwepo wa foleni ya watu mlangoni ya wiki moja kulia na kushoto(Martha Mwaipaja-Ananielewa).

Katika mantiki hiyo tukaimba wimbo wa Taifa la Tanuru la moshi katika mioyo ya watu wetu.Tukaona beti nyingi sikisema sisi ni  wadhaifu tusiopaswa kubadilika na kusamehewa na waliotuzunguka katika Mbingu zote Saba.

Na tukadhidi kujifunika blanketi letu sisi wenyewe kila mmoja asimuamshe mwenzake asielewe kuwa kila hatua kuna  udhaifu unaoleta mwamko mpya.

 Udhaifu ni ile hali ya mtu jamii au mfumo fulani kushindwa kukabiliana na hali fulani ambayo ni hatarishi.Ni ile ile kukoswa nguvu,uwezo hata fikra za kuweza kushinda mtihani kwenye hatua fulani.Kwa mtazo wa kibepari haya magonjwa,ujinga na umaskini hutiliwa mkazo ili viendelee kunufaisha wahusika na umma fulani ubaki kuwa mtaji wa jamii fulani iliyo katika  udhaifu.

Mkanganyiko wa  Udhaifu katika jamii huonekana sehemu kadhaa.

Kimaadili, Udhaifu ni ile hali ya kukoswa uaminifu kwa mtu,uvumilivu na hekima katika jamii.

Kifiziolojia,Udhaifu ni hali ya mwili kuwa na afya tete au ugonjwa.

Kisaikolojia,Udhaifu ni ile hali ya akili kuwa ndogo kuitikia jambo,akili inakumbwa na hofu,wasiwasi au kuwa mbali kiimani na kile kiendeleacho kati ya watu wawili au kundi.

Kijamii,Udhaifu  ni ile hali ya kushindwa kupata huduma muhimu kama rasilimali hata haki au usaidizi unaohitajika.

Kifedha,kukoswa uwezo wa kifedha au kusimamia fedha.

Kiutawala, udhaifu wa kimfumo katika kuendesha mambo kwa ufanisi.Miaka nenda rudi tunayafanya yale ya nyuma.

Ubepari umenufaika na udhaifu kama ifuatavyo( kuta ndani ya 1371,1732(imaginary) to 1681, Urusi ni 1991).

A: Kwa mtu mmoja mmoja aliye na Udhaifu wa kisheria huweza kuingia katika mikopo yenye riba kubwa 30-40,mfano mtumishi wa umma wa mshahara wa chini ya Laki 5 huweza kutozwa 15-17% kwa mwezi akitakiwa alipe deni mara mbili ya kile alichochukua.Kisheria ni halali lakini katika misingi ya utu Serikali ni bora kuboresha ili kuhimiza mageuzi.

B;Biashara za ushawishi kutokana na hofu/tamaa.Serikali iwajengee vijana ujasiri wa namna bora ya kufikia mafanikio isiwakatie tamaa jibu liwe bahati nasibu ikiendelea kumnufaisha bepari ikitumia matangazo ya nguvu kumshawishi mwenye udhaifu na utandawazi.

C:Kusumbuliwa na madeni,hutokana na kukopwa kwa mabepari na badae washirika binafsi hunufaika na mikopo hiyo.mfano Afrika kufikia % (Tz 47.3% bado salama,Kenya 70% hatarini zaidi,65% Rwanda liko katika dosari ya GDP kwa mwaka 2025) ni asimilia kubwa inayoashiria  Udhaifu endapo mkopo tutauelekeza kwenye matumizi ya anasa/matumizi yasiyo ya lazima ile bila nidhamu ingali tunajua fika deni la nje(mfano Trillion 80s) lina madhara zaidi kama EPC+F haitakaguliwa kwa makini, na endapo hatuta export vitu kwa wingi na hata lile la ndani(mfano Trillion 27-29s) kama hatutakaza macho kwenye EPC tunaweza kuupooza mzunguko wa pesa wa ndani hasa kwa watu wa chini na kuathiri mazingira yetu ya  PPP kama ubia bila ungangari wa jicho la uchumi kama lile la Prof. Ibrahim Haluna Lipumba tunakuja kwenda na maji tukiwa live kupitia dirishani mwa vyombo vya mabepari hiyo miaka ya 2050/2051 kuiendea dira yetu/mlima wetu wa vikwazo.

D:Rushwa katika manunuzi,hili ni kubwa kuliko na  udhaifu huu usipodhibitiwa unaleta udhaifu wa kuwapigia magoti mabepari.Afrika(Somalia 6%,South Sudani 11%,Libya 16% huku Tz 38%)Wastani wa Afrika ni 41%(CPI score) ni kiwango kikubwa cha rushwa katika sekta ya umma.72% ya watu katika huduma sehemu mbalimbali hukutana na hiki kiitwacho kunjua mkono(Kiwango hatarishi ni below 30% na cha kati 30-40% Hali hatarishi ya kati inayoonesha uangalau wa kufanyika miradi huku rushwa imo hivo hivo,50%-69 rushwa kidogo na 70-100 ni ndogo sana sawa na Good governance,mfano nchi za Scandinavia).

E:Mikataba ya madini na Rasilimali,mfano Tegeta Escrow scandal-dollar milion 250-800 zilichukuliwa bila uwazi kutoka benki kuu na kutumika vibaya kwa udhaifu wetu.Silaha ikawa uhuru wa vyombo vya kufahamasisha.

F: Udhaifu wa mazingira rasilimali,katika Dunia toka 2003 benki ya dunia inasema udhibiti wa rushwa umeshuka kwa 43% hadi 19% mwaka 2007,pamoja na hivyo bado uko juu sana na mara nyingi ubepari hutumia mwanya wa udhaifu wa mikataba,Hivyo hufanya mkataba usiweze kulipa haki msingi za Taifa.

Katika mtazamo wa kifalsafa unaoamini mwisho wa dunia ni katika mabadiliko ya kimfumo,Kalooist(si kalooo pekee anayelia) anaamini dunia njema ya kijana hujengwa kwa muono utokanao na udhaifu(adversity), usukumao nguvu ya ndani ili kuweza kujaza nafasi ambazo dunia iliyopo imeziacha wazi kwa mtu au uwepo wa minimum rate of  PPP kama ulinganifu wa uagizaji bidhaa kutoka nje kama Taifa(Mshale wa saa una thamani katika nyuzi 360 ndani ya kuta 12 za mzunguko wote,Mwaka umo ndani siku 365.25,Imo miaka ya Mzunguko wa dunia kwa kila kiumbe cha mfano,na hivyo huja ndani yake na hakitazidi humo ndani ya mzunguko wa masiku katika miaka hiyo, hata hivyo kimshale kimo ndani sehemu ya muono hafifu zaidi wa ile mipaka 12 inayoanza kumpa kila mtu thamani ya muda wake)Kwa hiyo katika kukua kwanza uimara huanza,huja kukutana na vazi la udhaifu(kupwaya na kutumia yasiyohitajika kama njia pale), ili kufiti kwa kile ambacho viatu vya miguu haviwezi kufanya hata vikielekezwa kuelekea huko,Yaani kuona mwanga ujao mbele ya njia.

Ni kweli mliniita  Barmade na Bob wangu mgongoni Kwa kuwa toka mwanzoni mambo yalipoonekana njia panda kwa kundi la pili niliitaifuta meza iliyojaza chupa(kimimi niko/divai) ili nipate chochote kitu,na mimi leo nililo ambulia ni hilo jina mlioniita, ndilo hilo hadi sasa limeniweka mjini na naendelea  kujisoeza, na hilo jina ni langu na huyo nimpendaye katika uwepo, sikulikataa katu ila niliwakubalia yote nikiwataka na ninyi mpate chochote kitu kwa hilo jina aliloitwa mpenzi katika huduma ya kimimi niko,Hapa lipo nitakalo kuwaambia,Je mtakapoona Mkate na mkaja na mimi nipate kuwaitaje kama nyinyi mlinihukumu kwa kuifuata njia nyembamba/ ule mlango mwembamba uliofunguliwa kwa ajili ya kundi dogo?,Sasa leo macho mnayo ya kujiita Walimu wa uhuru?Na habari mnayo na mtakodoa sana Ulaya na Amerika na bado hamtaelewa maana hamkumsikia vema Rose Mhando-mteule uwe Macho, alivyowaambia juu ya ushuhuda wa wito wake kwa man kalooo na hata ule utimilifu wa utamu wa mdomo kupekecha maneno kinywani.

 Tulipoishia ni pale tulipoambiwa kwa kukaripiwa "tutakua nazo na vile viatu vilivyokuwa havitoshi tutafute manguo ya kuvaliamo" na tukafanya hivo hadi leo ili kuutoa mwiba( udhaifu) ule aliotumia kutupiga nao yule mjumbe wa shetani na hapa Tunaendeleza katika ubora zaidi,yaani tuwe na mshikamo japo sasa upo katika uelewa wa watu wachache,Kwa kuthubutu hivyo ni ili watu waweze kujikomboa Kama Taifa,si bure kila ukionacho bali  madhaifu si sehemu katika jamii ili kutusaidia kutunga sheria na miunganiko ya mioyo tu bali kuweza kuleta umoja na mshikamano
katika huruma,utu na ubinadamu tukiwa ndani ya kielelezo cha mchungaji mwema.

Taifa tutayaweza yote hasa tukiamini kuwa nafsi ni dhamana ya kutoa kile ulichonacho kwa Taifa.

Note:

Mabadiliko ya jamii huko karne za nyuma yalianza kutoka bara fulani kwenda jingine(interplanetary Revolution katika telepathy )kimtazamo wa maarifa ya kidini/imani na badae kwenda sambamba katika mtazamo wa Akili/uhoji(nini 1655/1656 + 366/365.25? Ni 2wakorinto12/2wathesalonike2:18?2085-121= 1964,Dunia ni duara,Code mwaka hutoka kwa Mungu kila ifikapo 310 na kuja kwa watu kila ukamilifu wa Miaka 309?)

Tuitafuteni asili,ni mia juu ya mambo,Dunia ya leo Mambo ni vice-versa, tutalalaje hapajakucha?(Sisi wakatoliki. Mkatoliki ft mt. secilia Makuburi Catholic Choir).

1 nguzo: 1991/2085×100%=95%,

2 nguzo; x/1776 × 100%=94%,

3nguzo;1371/1467×100%=93%

(Alpha blond-Peace in Liberia).


4 nguzo:........
5 nguzo;.....(Unyenyekevu)
6 nguzo;........


​
 

Attachments

Back
Top Bottom