Mwalimu wangu wa psychology alisema binadamu mweusi akifika 50 years plus anawaza kufa na kule Jehannam aendako kama ni fisadi, with teacher's argument ina maana Ili Africa ipige hatua kiuchumi ni lazima Rais awe 40+! Sio 50+ ni Mzee tayari and selfish!
Mazee ya kibongo yenye madaraka ndio chanzo Cha umaskini, mengi ni mabinafsi, mashamba , mashetani, majinga na malimbukeni, ni mashirikina, mfano yakipata uWaziri yanataka yaendeshwe na mashangingi latest design wakati huko kwao mpitimbi yalienda shule peku, kusoma kwa kibatari na kushindia uji! Hizi gari kubwa zinanyonya sana uchumi na pesa ya Barabara mpya ya Msumi, madaraja, Meli mpya, miundombinu ya umeme na reli.