Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Nimefika mitaa fulani , nisipataje
Kuna habari zikawa zinazungumzwa kijiwe cha fundi viatu mmoja maarufu.
Kuwa akaunti nyeti za serikali ya Tanzania zilidukuliwa.
Je sisi raia?