Hakuna account ya serikali iliyodukuliwa ,
Nilivyoelewa ni membership ya mtandao wa social media , hilo halina kazi kubwa kihivyo ikiwa unachunguza na unapenda umbeya kama Wakenya unaweza kusoma kwenye mitandao na ukafanikiwa kutenda tendo hilo hata drone zinadukuliwa na kuhamishiwa uelekeo.