Kama Aliens wapo kwenye Galaxy nyingine, wanachokiona duniani ni Dinosaurs

Kama Aliens wapo kwenye Galaxy nyingine, wanachokiona duniani ni Dinosaurs

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2,231
Reaction score
2,778
1 light year(distance) = 1 year time

Kama umbali kutoka Galaxy moja hadi nyingine ni 65 light years, kwahyo Aliens waliopo kule wakiangalia duniani bado wanaona Dinosaurs walioishi miaka million 65 iliyopita
Ili Aliens waweze kuona Dunia ilivyo kwa wakati huu inabidi technology yao iwe juu zaidi kuzidi upeo wa kibinadamu
IMG_20180818_131825.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga first class kuamini uwepo wa aliens

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually ni ujinga na upunguani kudhani eti sisi ni intelligent race pekee kwenye universe..! Kama solar system yetu pekee ni sawa na punje ya mchanga ivunjwe zaidi ya mara 1000, kwann kusiwezekane kukawa na ET kwenye kona nyengine ya galaxy yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom