ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,750
- 1,864
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yet unaamini kuna Mungu!?..Siamini upuuuzi wowote wa viumbe visivyoonekana kuanzia majini, mashetani, wachawi to aliens.
Yet unaamini kuna Mungu!?..
Kama unaamini kuna Mungu je kwanini huyo Mungu wako ukizaliwa ukaishi anataka usifanye dhambi ili ukifa usiende motoni anakosema yupo shetani! (ingawa huamini kuna shetani)..
Je kama wasaidizi wa Mungu ni Malaika kwanini usiamini wasaidizi wa shetani ni majini na wachawi!?..
Mungu kanikataza na ananisihi kupitia watumishi wake nisifanye dhambi kwanini!?.. Je nikifanya dhambi nitapata nini ikiwa hakuna mashetani, wachawi!?..
Nijibu huamini kuna Mungu niachane nawe!
Contraditions eeeh!??
Unaamini katika imani za kiafrika au hauna imani kabisa!?.Mungu uliyeletewa na wazungu na waarabu ili wakutawale?
Kuna light, kuna year. Ukiandika light year ni muunganiko wa maneno mawili, nayo ni light + yearMi mwenyewe nashangaa kuna watu sijui huwa wanatoa wapi hizi mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
sure ,we are being watched kabsaa...Nazan kuna Race flan inatuchukulia kama sisi tunavyowachukulia sisimizi
Sent using Jamii Forums mobile app