Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Sio kila mtu anaamini dini.Hata bibilia inatambua kuna sayari wanaish watu ambao hawakutenda dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anaamini dini.Hata bibilia inatambua kuna sayari wanaish watu ambao hawakutenda dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Is Warp drive a science fact or science fiction?Hujanielewa!..
Beyond human comprehension yet you perceive its use around human perceptions!.
Kama wameweza kuvuka 65 light years kuiona dunia basi inakubidi uamini wameweza kutuona sisi na sio Dinos!..
Rudia kusoma Warp Drive Technology!.
Sasa kama wameweza kucalculate na kupredict Eclipse, kwa nini huamini wanapokuambia kuna Aliens?Solar eclipse na ujinga wa uwepo wa aliens ni vitu viwili tofauti. SE hata wewe uliona kwa macho yako mwenyewe ila story za kusadikika za aliens ni kama story za uchawi/majini utaishia kujazwa matango pori tu cause hawapo.
Sasa kama huamini si ni tatizo lako? Kwanini unafuatilia na kubisha vitu ambavyo huamini?
Sasa wewe mbona unatumia nguvu nyingi kupinga kitu ambacho huna uhakika kipo ama hakipo?Ukubwa wa universe sio sababu ya uwepo wa aliens, universe inaweza kuwa kubwa na bado tukawa peke yetu tu. Sijui kwanini mnatumia nguvu kuamini lazima kuna viumbe wengine na uinga zaidi ni pale mnapoamini hao viumbe wana akili kuliko sisi. Hizi story kama story za majini mtaishia kusikia hear say tu bila uthibitisho wowote abadan.
Are alien existance SCIENCE FACT or SCIENCE FICTION?.
Damn true.Nazan kuna Race flan inatuchukulia kama sisi tunavyowachukulia sisimizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama wameweza kucalculate na kupredict Eclipse, kwa nini huamini wanapokuambia kuna Aliens?
Huoni kuwa ni suala la muda tu kujionea kwa macho yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
You're rightNi wapi NASA (Never A Straight Answer) wamesema kuna aliens? Leta credible source moja ya NASA inayosema kuna aliens.
Uwepo wa aliens ni speculations tu kama ambavyo wavivu wa kufikiri wengine wanaamini kuna uchawi. Kuamini kuna aliens/uchawi ni story za kusadikika na haziwi kweli hata ziongelewe au watu waziamini vp.
Science fictionAre alien existance SCIENCE FACT or SCIENCE FICTION?.
We ni mkewe ?Magufuli aje na Mbeya. Sio kila siku Mwanza tu. Tumechoka kubaguliwa wakati kodi zetu mnachukua.
Kwahyo hao Alliens wanawaona Dinosaur Tuu Hapa Duniani??... Ukiwa na maana ya kwamba sisi hatuonekani.. Kama ndo hivyo mbona hao Dinpsaur sisi hatuwaoni kwa sasa ...inakuaje kuaje hiyo mkuu sijakupata vizuri labda1 light year(distance) = 1 year time
Kama umbali kutoka Galaxy moja hadi nyingine ni 65 light years, kwahyo Aliens waliopo kule wakiangalia duniani bado wanaona Dinosaurs walioishi miaka million 65 iliyopita
Ili Aliens waweze kuona Dunia ilivyo kwa wakati huu inabidi technology yao iwe juu zaidi kuzidi upeo wa kibinadamu
View attachment 840212
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza NASA hawajasema kama kuna aliens,hyo ni assuming tyu kwa mfano kama wapo,mjadala huu ni wa kijinga kwan NASA haijakubl uwepo wa aliensSasa kama wameweza kucalculate na kupredict Eclipse, kwa nini huamini wanapokuambia kuna Aliens?
Huoni kuwa ni suala la muda tu kujionea kwa macho yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
made a valid point. we arent alone period!!Actually ni ujinga na upunguani kudhani eti sisi ni intelligent race pekee kwenye universe..! Kama solar system yetu pekee ni sawa na punje ya mchanga ivunjwe zaidi ya mara 1000, kwann kusiwezekane kukawa na ET kwenye kona nyengine ya galaxy yetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia kuuliza maswali yenye akili sasa!..
'Jamaa wanapenda Damu kama nini'.[emoji3]Au ng'ombe🙂. Pengine wanasubiri tuongezeke waje watuvune wale nyama. Unaweza kuta hii dunia ni shamba la Tajiri mmoja ET🙂🙂