XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
Mi mwenyewe nashangaa kuna watu sijui huwa wanatoa wapi hizi mambohii ni sayansi ya wapi? mbona kwenye mitaala yetu haipo
Kwanini wanatusadikisha?ukiondoa vitu tunavyoviona kwa uhalisia kama Jua,Mwezi,nyota etc mambo mengine ni ya kusadikika(Assumptions) tu kutoka NASA.
Ili waendelee kula Mipunga ya UTAFITI maana watu watataka kujua zaidi ya hapo walipotusadikisha hivyo nao wanaendelea kuwepo na kuvuta mishahara.Kwanini wanatusadikisha?
Yupo sahihi kimaesabuhii ni sayansi ya wapi? mbona kwenye mitaala yetu haipo
Ni kweli. hata mwanga wa jua unaotufikia ulitoka kwenye jua dk nane zilizopita.nasa waliwahi kupata mawasiliano ya simu (sos) kutoka kwenye galaxy ya andrometa hiyo ilikuwa mwaka 1998
hivyo inawezekana kuna viumbe k\ma hao
hahaa
Story za kusadikika za aliens ni kama story za majini/mashetani/uchawi hazina ushahidi wowote zaidi ya porojo tuNaomba ushaidi wa kuwepo kwa Aliens
Actually ni ujinga na upunguani kudhani eti sisi ni intelligent race pekee kwenye universe..! Kama solar system yetu pekee ni sawa na punje ya mchanga ivunjwe zaidi ya mara 1000, kwann kusiwezekane kukawa na ET kwenye kona nyengine ya galaxy yetu?
Ni lini na wapi umetuma mchango{pesa} wako kwenda kwenye akaunt ya NASA ?Ili waendelee kula Mipunga ya UTAFITI maana watu watataka kujua zaidi ya hapo walipotusadikisha hivyo nao wanaendelea kuwepo na kuvuta mishahara.