Kama Aliens wapo kwenye Galaxy nyingine, wanachokiona duniani ni Dinosaurs

Hujanielewa!..
Beyond human comprehension yet you perceive its use around human perceptions!.
Kama wameweza kuvuka 65 light years kuiona dunia basi inakubidi uamini wameweza kutuona sisi na sio Dinos!..
Rudia kusoma Warp Drive Technology!.
Is Warp drive a science fact or science fiction?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Solar eclipse na ujinga wa uwepo wa aliens ni vitu viwili tofauti. SE hata wewe uliona kwa macho yako mwenyewe ila story za kusadikika za aliens ni kama story za uchawi/majini utaishia kujazwa matango pori tu cause hawapo.
Sasa kama wameweza kucalculate na kupredict Eclipse, kwa nini huamini wanapokuambia kuna Aliens?

Huoni kuwa ni suala la muda tu kujionea kwa macho yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe mbona unatumia nguvu nyingi kupinga kitu ambacho huna uhakika kipo ama hakipo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama wameweza kucalculate na kupredict Eclipse, kwa nini huamini wanapokuambia kuna Aliens?

Huoni kuwa ni suala la muda tu kujionea kwa macho yako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni wapi NASA (Never A Straight Answer) wamesema kuna aliens? Leta credible source moja ya NASA inayosema kuna aliens.

Uwepo wa aliens ni speculations tu kama ambavyo wavivu wa kufikiri wengine wanaamini kuna uchawi. Kuamini kuna aliens/uchawi ni story za kusadikika na haziwi kweli hata ziongelewe au watu waziamini vp.
 
You're right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo hao Alliens wanawaona Dinosaur Tuu Hapa Duniani??... Ukiwa na maana ya kwamba sisi hatuonekani.. Kama ndo hivyo mbona hao Dinpsaur sisi hatuwaoni kwa sasa ...inakuaje kuaje hiyo mkuu sijakupata vizuri labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaamini uwepo wa MUNGU tuu kutoka na vitabu vya kidini vinavyotudhihirishia mambo mbalimbali kam vile miujiza ambayo ilitokea wakati ule... Sasa wewe Unaamini Aliens wapo hao Aliens Wamefanya kitu gani ambacho kinaweza tuaminisha kuwa wapo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaa cjaelewa kitu hapa inaonyesha sina upeo huu.
 
Ngumu kumesa.. unataka kusema picha inasafiri na mwanga(kama mwanga)...?
 
Au ng'ombeπŸ™‚. Pengine wanasubiri tuongezeke waje watuvune wale nyama. Unaweza kuta hii dunia ni shamba la Tajiri mmoja ETπŸ™‚πŸ™‚
'Jamaa wanapenda Damu kama nini'.[emoji3]

Na vitabu vya kidini vya hawa watu vinadhihirisha kila kitu kuwa sisi ni misosi

Lakini mijitu mibishi imekaza shingo inaona tunakufuru wakati ndio ukweli wenyewe

Na ukweli upo dhahiri tu _ili kiumbe kiweze kuishi ni lazima kile maisha ya kiumbe mwenzake

Narudia tena Sisi ni MISOSI na tupo zizini na wanatuchagua wapendavyo 'huyu leo kifungua kinywa yule wa lunch na huyu ni dinner'[emoji16]

Dawa ya kumaliza hili ni Kuilipua dunia yote kwa atomiki Boom basi

We angalia vizuri tu dunia utagundua ina athari ya waliotangulia ambao hawakupenda ung'ombe wakajilipua[emoji16]

Halafu mwisho wa siku wakaitwa mashetani kumbe waligundua ujinga huu[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…