Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ππππMuda ndo huu, watupishe ktk klabu yetu, kila siku ni huzuni tu, tumechoka, engineer aachie ngazi.
Gulamali ndio mtu wa kwanza kuwapa Wachezaji wa Yanga Chai ya maziwa na Mayai, siku zote walipewa chai ya Rangi na vitumbua alivyokuwa anapika Mama Ashura pale JangwaniKumekuchaaaaa
Kamng'oe Mbowe kwanza wewe kipapaHili ni angalizo kwa hao wanaodhani wameinunua Yanga.
Muda utaongea .
Hawa watang'oka tu kama wengine walivyong'oka. Shida ni kumng'oa Ayatollah Mbowe Chadema! Ahahahahaha!!Hili ni angalizo kwa hao wanaodhani wameinunua Yanga.
Muda utaongea .
nje ya madaHawa watang'oka tu kama wengine walivyong'oka. Shida ni kumng'oa Ayatollah Mbowe Chadema! Ahahahahaha!!
kama namuna mzee magomaπππ
Matusi na uchawi ndio nguzo ya kapukuKamng'oe Mbowe kwanza wewe kipapa
Kibuli chake cha kumdharai manara kinamponza hujachelewa injinia nenda kamwombe radhi amchango mzuri tu kwa yanga acha kibuli.ππππ