Kama aling'olewa Gulamali wewe Hersi Said na GSM mtang'oka tu!

Kama aling'olewa Gulamali wewe Hersi Said na GSM mtang'oka tu!

Huko ni kwa mabingwa tu walisema.
Sasa naona vibonde wamedandia meli SIO.haya rudini shirikisho
 
c49e2586e80429f535d909eaa7970f28.png
 
WanaJF mwenye kale ka clip kanasema hv :-

"Sisiemu ataondoka kama alivoondoka Firauniiii....
Waichukucha waichukucha..."

Naomba akaweke hapa na anitag
Kweli mkuu, ile clip iletwe tuinjoi
 
Yanga msiwalaumu viongozi hiyo ni michuano mkubwa Sana,sema tu mafanikio yenu ya kwenye ligi yaliwapofusheni mashabiki wenu,mkaanza kutembea nayo mfukoni na kwenye michuano Kama hiyo,Hilo ni kombe la mabingwa kaka zanguni,Mimi si shabiki wa yanga ,Ila ni shabiki wa mpira
 
Back
Top Bottom