Uende tu Chato , usipige chenga.Magufuli hayupo Chato, baba yetu yupo mioyoni mwa kila mtanzania.
Kipindi kama hiki uwa tunamkumbuka sana sababu ya uwezo wake wa kuchukua maamuzi ya kusaidia watu wa chini.
Nenda kwa mungu wenu mwingine zumaridi atamfufuaKwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Ndugu umempenda jamaa mpaka imekuwa Kama imani sasa..😂Magufuli hayupo Chato, baba yetu yupo mioyoni mwa kila mtanzania.
Kipindi kama hiki uwa tunamkumbuka sana sababu ya uwezo wake wa kuchukua maamuzi ya kusaidia watu wa chini.
Nasikia ulipata mgao wa Tshs 1.5 Trilioni.Sifa ya kiongozi ni kufanya maamuzi haswa ya kuwasaidia wananchi wasiteseke.
Siku zote nasema, kwenye umaskini wa Watanzania kuna watu wananeemeka. Moyo unauma kuona nchi kama hii yenye kila rasilimali ikiongozwa na vilaza wa kutupwa. Ila anaona upuuzi mnaofanya, atayaangalia machozi ya Watanzania nakuiporomosha merikebu zenu mnazozitumainia.Kabisa aisee yule mzee alikuwa kiongozi.
Hakuna mapungufu, ni uuaji wa binadamu wenzake, ataungua hata tutamkuta anaungua tena kwa coal 😑Magu alikuwa kiongozi haswa tukiweka mapungufu yake pembeni. Alitupenda watoto wake.
Nakuhakikishia asingeacha nchi nzima inalia vilio vya shida na yeye anakaa anatazama tu.
Punguani hawakosekaniNasikia ulipata mgao wa Tshs 1.5 Trilioni.
Kina zile mbuzi kipindi cha korona zilikuwa zinampuuza leo wako wapi..Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Mtoa hoja sikulaumu, ila kumbuka kuna familia tunapochart hapa hazina wapendwa wao, kisa ...tofauti za ideology na president Magufuli,..kumbuka Ben saanane yupo wapi?,Amory yupo wapi?,etc etc na mbaya zaidi hizi familia hazina closure kuhusu wapendwa wao, chato kuna grave ya president Magufuli, but kwenye family ya Saanane, Azory hawana hii, pls pls fikiria hizi familia maana nawe una familia
watu wa chini ndio watu gani hao?! Mwenyezi Mungu hakuumba mtu wa chini, wote tuko sawa. Labda useme WATU WAVIVU.Magufuli hayupo Chato, baba yetu yupo mioyoni mwa kila mtanzania.
Kipindi kama hiki uwa tunamkumbuka sana sababu ya uwezo wake wa kuchukua maamuzi ya kusaidia watu wa chini.