Kama alivyotuvusha kwenye janga la Corona, na hili la MAFUTA Magufuli angetuvusha!

Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Ndio maana mtu mmoja alimkiri ya kwamba yeye ni SIMBA WA YUDA!
 
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Mbona hakusaidia kitu kwenye janga la sukari mwaka 2015/2016 ambapo ilipanda kutoka TSH 1,800 hadi 4,000 na ikawa adimu mnooo. Hadi leo sukari haijaweza kurudi kwenye ile bei ya 1,800 aliyoiacha JK.
 
Mafuta ni tatizo la dunia nzima!
Tatizo kwa majizi mkuu:

Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi

IMG_20220402_184504_432.jpg
 
What goes around comes around. Ukweli mchungu wako waheshimiwa ambao wamekwaa Uwaziri awamu hii ya sita walimshikia bango sana marehemu JPM wakisema analeta maendeleo ya vitu si watu. Wakamnanga kwa umahiri sana ndio ile misemo ya kazi na bata na nchi inaongozwa/imepewa washamba.

Mwana kulitafuta mwana kulipata. Ndiposa Mungu si athumani wako madarakani limekuja janga la vita ya ukraine. Tuone mbinu za kushusha bei za bidhaa za vitu vinavyoleta maendeleo ya watu. Ndio... tuone uongozi wenu. Mwenzenu mliye mnanaga kipindi kile alitoa uongozi wakati wa corona. Kaiachia dunia urithi ndio sababu Wazungu wamekiri hadharani corona tutaishi nayo kama maradhi mengine. Marehemu JPM aliliona hili miaka miwili kabla ya hawa Wazungu kukiri hadharani juzi kati.
 
Mbona hakusaidia kitu kwenye janga la sukari mwaka 2015/2016 ambapo ilipanda kutoka TSH 1,800 hadi 4,000 na ikawa adimu mnooo. Hadi leo sukari haijaweza kurudi kwenye ile bei ya 1,800 aliyoiacha JK.
Basi utakuwa nyuma ya historia kwani juzi tu wakati mtu mmoja anakabidhi pikipiki kwa maafisa ugani, Waziri wake wa Kilimo alisema ifikapo 2025 tatizo la sukari Tanzania itakuwa historia. Hiyo ni kazi ya SIMBA WA YUDA ambaye kila kinywa kitamkiri!
 
Magu angetoa ruzuku kufidia kwa muda na ninaamini angeongea na Putin kama India na China tukanunua direct toka Russia... Hangaya hana uwezo huo... anaweza kutoa tu machozi kwa wimbo wa Christian Bella pale Chinangali sio kwa issue za masilahi mapana kwa nchi kama hili.

Kipindi chake ilipanda sukari tu...mijitu ikatoa povu kama imetiwa pilipili... sasa hivi kila kitu juu inasifia na kutetea... pumbavu kabisa
Jiwe angemtuma kabudi tu wachukue mzigo kwa bei rafiki kabisa
 
Mkuu Sonofobia katika sarufi unaweza kuchambua matumizi ya "nge" pale yanapotumika katika sentensi. Matumizi ya neno "angetuvusha" hayatupi uhakika wa vitendo kuhusu kile ambacho umekizungumzia.

"Nge" hutumika kuonyesha kwamba kitendo fulani hakijafanyika na kwa hivyo jambo fulani halijatokea lakini kuna uwezekano wa kufanya kitendo hicho na jambo hilo litokee.
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
"Nge" na lile lingine la "Ngali" hutumika kuonyesha uwezekano kitendo kufanyika au majuto ya kutoona kitendo kikifanyika. Kwa kifupi, kuna vitendo au hali mbili zinazotegemena; kwa hivyo hali ya kwanza ikitokea kuna uwezekano wa kitendo cha pili kufanyika.

Kwa hiyo basi, mazingira ya sasa yanahitaji wananchi kutoa ushauri wao kuhusu nini ambacho kinapaswa hasa kufanyika.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Kwanini sasa hatuvushi? Shida iko wapi?
 
Mbona hakusaidia kitu kwenye janga la sukari mwaka 2015/2016 ambapo ilipanda kutoka TSH 1,800 hadi 4,000 na ikawa adimu mnooo. Hadi leo sukari haijaweza kurudi kwenye ile bei ya 1,800 aliyoiacha JK.

Sukari alitafutia a long term solution ndio maana Azam na wadau wengine wana lima miwa na kujenga kiwanda cha sukari.
 
Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Mfuate kaburini kwake akakuvushe,limeua watu kwa kusema hakuna covid maelfu wa watanzania walifariki,bladifaken wahed
 
Haya nenda sasa kalie juu ya kaburi
 
Dalili ya kuwa na wananchi waliokosa dira
 
Mfuate kaburini kwake akakuvushe,limeua watu kwa kusema hakuna covid maelfu wa watanzania walifariki,bladifaken wahed

Unazungumzia maelefu nenda Ulaya, Marekani kusini na kaskazini wanazungumzia millions za vifo. Na wametushinda katika miuondo mbinu ya kiafya katika kiwango cha mbingu na dunia. Kivuli cha JPM ni second in nature kwa Uongozi wowote wa Tanzania baada yake.
 
Sasa hivi yamebaki mathenge mathenge hayana ata uchungu na hii nchi.
 
Jiueni bas mwongozane nae,maana imekuwa too much sasa....sijui mnakuwa mnataka likes na comments? Tunaacha kupambana na yanayotusibu lakin tumekaa kumwabudu marehemu....aisee kweli sooo primitive.PUWAAA
 
Back
Top Bottom