jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kama huna hoja kaa kimya!!Mfuate Chato, atakutonya tu ,maana wewe kichwani hazimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna hoja kaa kimya!!Mfuate Chato, atakutonya tu ,maana wewe kichwani hazimo.
Naona pia wwe huna hoja!!Nenda kwa mungu wenu mwingine zumaridi atamfufua
Hata Corona lilikua tatizo la Dunia nzima, au umesha sahau,jinsi Magufuli alivyotuvusha kwenye huo mtihani wa Corona!? Sasa Mama kapewa ka test tu ka Mafuta kupanda bei anayumbwisha na Wajanja akina Marope!!Mafuta ni tatizo la dunia nzima!
Upumbavu wako at its best, unamaanisha kuwa Azory aliuawa na wanausalama wetu ambao wamekula kiapo cha kutulinda, mke wa Azory anaeleza kuwa mme wake alikua abducted nyumbani, hakua kwenye battle field, serikali katili hadi kwa innocent people, ataungua hadi Nami nimkute anaungua ,ni serikali yake ambayo nchi yetu ilishughudia mauaji makubwa kwa raia wake, anzia Martin pale Ruvu hadi Coco ⛱,Hizo ni siasa tu mkuu.. mfano Azory alipotelea kwenye battlefield uko kusini kama polisi wetu walikuwa wanauwawa je mwandishi wa habari anabakije salama
Angekubomoa risasi ya kwenye masaburi sijui kama ungeongea huu utopolo wa kuweka mapungufu yake pembeniMagu alikuwa kiongozi haswa tukiweka mapungufu yake pembeni. Alitupenda watoto wake.
Nakuhakikishia asingeacha nchi nzima inalia vilio vya shida na yeye anakaa anatazama tu.
TumewazoeaAkwende huko.
Labda angeweka rehani makende yake.
Mtu yeyote ambaye hachimbi mafuta nchini kwake, mtu yeyote asiye na akiba angalau ya mwaka mmoja lazima anyooshwe na hii oil inflation
katika hao watanzania naomba mm unitoe kabisa mm sina roho ya kishetaniMagufuli hayupo Chato, baba yetu yupo mioyoni mwa kila mtanzania.
Kipindi kama hiki uwa tunamkumbuka sana sababu ya uwezo wake wa kuchukua maamuzi ya kusaidia watu wa chini.
Mtaomboleza sana lakini hakuna kitakachobadilika Mungu wenu batili hayupo duniani milele.Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Researcher! Ali search vizuri mitambo yake ya moyo. Amezikwa moyoni mwako. Mimi niliona akizikwa kwenye tope. Maana mvua ilinyesha.Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hajazikwa chato amezikwa mioyoni mwetu ,kwenye kipindi kigumu Sana Kama hiki Cha mwananchi kuteseka na kuachwa ahangaike Kama kuku was kienyeji hapo ndipo magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii alikuwa anaibuka na suluhisho mwanana uzuri wake alikuwa Ni researcher mzuri tu,kumbuka issue ya CORONA na SUKARI
Ata Corona ilikua kwa dunia nzimMafuta ni tatizo la dunia nzima!
mioyoni mwa wasiojulikanaMagufuli anaishi mioyoni mwa kila mtanzania.