N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Hicho ni kivuli tu...economic recessions huwa hazina mbabe hata super powers huwa zinawakumba and they cannot mitigate kwa sababu myumbo/mdondoko wa uchumi huja na some unavoidable factors kama vita.... inayoendelea huko Ukraine. Ila sasa wabishi kuelewa kama wewe na kundi la wenzio mtakuwa mkilaumu tu Serikali bila kufahamu kwamba msambazaji mkubwa wa mafuta duniani muda huu yupo kwenye vita. Kwa hiyo huyo Magufuli angewalipia nyie hayo mafuta? na kwa muda gani?!! kuna vitu msiwe mnajitoa akili.Yote kwa yote tutakubaliana kuwa Magufuli angefanya maamuzi kuwasaidia watanzania wasiteseke na hii gharama za mafuta.